Inaendelea toka bandiko # 1
... baada ya kufika kwenye centre ya kushauriwa na kupima, nilimkuta huyo msisteri akitoa somo kwa waliotangalia, nillikuwa na umakini katika kumsikiliza, baada ya hapo ,ikabakia mda wa kupima.
Sasa kwa sababu mimi ni mpenzi wa kusoma vitabu(hasa vya kiinglish), nikautumia muda huu wa kusubiri kupima badala ya kuchangia mada ambazo hazina kichwa wala miguu katika wale niliowakuta ,nilitumia muda huu kumalizia novel yangu , since I was the only one reading a book, hii ilinifanya niwe tofauti katika lile kundi..........
dont take it serious, si kwamba nami nimemzimika , but it feels good kuzimikiwa!