Baada ya kupima HIV ANGAZA, nimepata mrembo -dada mshauri!

kwanza kabisa najipongeza kwa kupima HIV leo,ambayo ni mara ya kwanza , japo lazima nikiri kwamba uoga ulikuwepo mbali na kwamba historia yangu kimahusiano haikuwa ya kihatrishi kiivyo, nawashauri mkapime pia, kuhusu jinsi gani dada mshauri kanizimika itafuata after a short break!

Si umalizie yote? Ya nini kukatakata? Eti after a short break, unatoa wewe? Mnatuchosha!
 
Inaendelea toka bandiko # 1

... baada ya kufika kwenye centre ya kushauriwa na kupima, nilimkuta huyo msisteri akitoa somo kwa waliotangalia, nillikuwa na umakini katika kumsikiliza, baada ya hapo ,ikabakia mda wa kupima.

Sasa kwa sababu mimi ni mpenzi wa kusoma vitabu(hasa vya kiinglish), nikautumia muda huu wa kusubiri kupima badala ya kuchangia mada ambazo hazina kichwa wala miguu katika wale niliowakuta ,nilitumia muda huu kumalizia novel yangu , since I was the only one reading a book, hii ilinifanya niwe tofauti katika lile kundi..........

dont take it serious, si kwamba nami nimemzimika , but it feels good kuzimikiwa!

Nimependa sana hii.Umri wako nitajie....
 
Watoto bwana!!
 
unaomba ushauri?
unatupa taarifa?
unajiona mjanja?
akili yako haipo sawa?
au domo zege umetongozwa?
 
kwanza kabisa najipongeza kwa kupima HIV leo,ambayo ni mara ya kwanza , japo lazima nikiri kwamba uoga ulikuwepo mbali na kwamba historia yangu kimahusiano haikuwa ya kihatrishi kiivyo, nawashauri mkapime pia, kuhusu jinsi gani dada mshauri kanizimika itafuata after a short break!

kapime tena baada miezi mitatu sehemu tofaut..somthng wrong
 
Inaendelea toka bandiko # 1

... baada ya kufika kwenye centre ya kushauriwa na kupima, nilimkuta huyo msisteri akitoa somo kwa waliotangalia, nillikuwa na umakini katika kumsikiliza, baada ya hapo ,ikabakia mda wa kupima.

Sasa kwa sababu mimi ni mpenzi wa kusoma vitabu(hasa vya kiinglish), nikautumia muda huu wa kusubiri kupima badala ya kuchangia mada ambazo hazina kichwa wala miguu katika wale niliowakuta ,nilitumia muda huu kumalizia novel yangu , since I was the only one reading a book, hii ilinifanya niwe tofauti katika lile kundi..........

dont take it serious, si kwamba nami nimemzimika , but it feels good kuzimikiwa!

Hizi fikra zinachangia umaskini wa vijana wengi wanaokamilisha balehe.
Kwa ushauri tu, nenda kapime sehemu nyingine baada ya miezi mitatu mitatu.
 
Somo la kupambana na UKIMWI bado halijatukaa wengi wetu na kazi inaeekea inahitajika kubwa mno bado ili tuweze kulielewa somo hili vyema.
Huyu bwana kwanza anatuambia kaenda kupima, Ok, Good.
Hajatuambia wapi, na majibu yake ni yapi ingawa anaongea kana kwamba kashajua hajaathirika,

Hata hivyo, naona kama wengi tushachukulia kuwa majibu yake ni Hasi.
Kwa ufahamu wangu ingawa hajatuambia kaenda kituo gani, Vituo vingi vya upimaji, mhusika hapewi majibu sikuhiyohiyo.
Hilo la kwanza. La Pili, Ili mtu ajihakikishie kuwa hana maambukizi inashauriwa apime mara tatu na kwa muda maalum tofauti.
Na majibu yakiwa hasi mara zote ndipo unakuwa katika uhakika wa kuwa huna maambukizi.

Bwana mdogo, Tuliza ndhuka wako (Samahani watoto wana ndhuka sio Mzuka)
Mambo hayapo rahisi kama unavyodhani .
Vinginevyo, Kama hujapewa utaratibu kama huu niliokupa,
Kuna mawili,Moja, Kituo ulichoenda ni kanjanja au Pili, umeamua kuugeuza uwanja huu baraza ya kupiga porojo.

Naomba kuwakilisha.
 
maelezo mareeeeefu af cjaona hoja! in short hii hadith cjui taarifa yako ni mashudu ma2pu diha
 
Anacheza na akili za watu,kidume nime concentrate kwa stori isiyo na kitu cha maana!
 
Back
Top Bottom