Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,500
- 12,843
Sasa hivi kuna sapampa😁 kuswampa hili neno sijalisikia muda mrefu sana
Sasa hivi kuna sapampa😁 kuswampa hili neno sijalisikia muda mrefu sana
Inamaana hujakullia kwenye familia mpka kutolijua hilo?Kutoka kwenye budget ya mmoja hadi kwenye budget ya "familia", inachukua mda kuelewa hiyo hali.
Inaoneka hawajakulia kwenye familia kuyajua haya ambayo ni obviousInashangaza wanaume wengi wapo too much concerned with rising expenditure baada ya ndoa. Nadhani inawezekana hiyo ikawa ni sababu ya ndoa nyingi kuvunjika.
Mimi sikuwahi kuwaza kabisa kuhusu matumizi. Japo yaliongezeka sana kwasababu wife hakuwa na kazi. So, haikunisumbua akili kabisa. Goal yangu ilikuwa ni kumlisha chochote anachotaka yeye na mtoto.
Huo ni uchoyo msisingizie ugeni wa ndoa.. 😹😹😹Kutoka kwenye budget ya mmoja hadi kwenye budget ya "familia", inachukua mda kuelewa hiyo hali.
Inamaana hujakullia kwenye familia mpka kutolijua hilo?
Kutoka kwenye ubachela, kujihudumia mwenyewe, ukitoka kazini unapita sehemu unakula na imeisha, hadi kununua groceries na kuacha matumizi kila siku.Huo ni uchoyo msisingizie ugeni wa ndoa.. 😹😹😹
YaniNilichogundua baadhi ya wanaume ni wachoyo,,kabla haujaoa kwani haukujua majukumu ya ndoa😁,
Wanaume bhana,mtoto wa watu umemuoa halafu akale wapi😁
Yah kabisa, ni changes ya haraka sana, ila ustahimilivu wa kuishi pamoja utakuwepo endapo tu mtu ata adapt hiyo hali.Sio ajabu hata kidogo, na sababu kubwa ni yale mabadiliko ni ya ghafla japo tuliyajua kabla.
Gradually watu wanaelewa na kuyaishi majukumu yao.
Wanaokwepa hili jukumu la kufanya spending wanaishia kuoa wanawake wenye kazi zao, wakidhani kwamba watasaidiana maisha, kumbe ndo wanaenda kujimaliza kabisa.Inaoneka hawajakulia kwenye familia kuyajua haya ambayo ni obvious
Usijali huu uzi nitaufuta we nambie tu ulivyooa maisha yaliendeleaje? Huenda ukaniponya mwanangu, ilikuaje baada ya hapo, nasubiri comment yako!
Mim inshu ya chakula sikuiwazia,changamoto ilikuwa ni kumnunulia nguo tena karibia kila mara na sio mara moja au mara mbili kwa mwakaIlinichukua muda sana kukubali kuwa wali ,nyama na vingine ninavyoleta na yeye atakula hivyo hivyo bila kuchangia chochote ,roho ilikuwa inauma sana kiasi kuwa nilijipa muda kuiondoa hiyo roho ya uchoyo kichwani mwangu na moyoni ila ilinitesa .
Ila walisema usiodharau instinct yako ni bora ningemnyima hiyo misosi yangu maana badaye kiliniacha aisee
Kataa ndoa stand up 💪
Dah yanaumiza sana aisee ,mimi nguo sikumbuki kama niliwahi kununua aliamua kujiongeza kuwa anajinunulia maana ,ugovi mkubwa kati yetu baada ya kuzoeana ni mshahara wake uwekwe mezani na mimi niuonje lakini wapi .Mim inshu ya chakula sikuiwazia,changamoto ilikuwa ni kumnunulia nguo tena karibia kila mara na sio mara moja au mara mbili kwa mwaka
dada wanaume wana mentality za kichoyo mno ndiomana now mostly wapo radhi walelewe, na wataliwa sana matobo.Nilichogundua baadhi ya wanaume ni wachoyo,,kabla haujaoa kwani haukujua majukumu ya ndoa😁,
Wanaume bhana,mtoto wa watu umemuoa halafu akale wapi😁
Nilkuja kugundua mwanaume ni punda nilipoona bibi wa miaka 50+ anamsubir mume wake ambae nae choka mbaya eti ampe hela ya kushonea nguoDah yanaumiza sana aisee ,mimi nguo sikumbuki kama niliwahi kununua aliamua kujiongeza kuwa anajinunulia maana ,ugovi mkubwa kati yetu baada ya kuzoeana ni mshahara wake uwekwe mezani na mimi niuonje lakini wapi .
Ni hapo akajua hata nguo siwezi kununua .
Ila kwasasa nimestaarabika nikioa tena nitamuhudumia nimeshakubalu mwanamme hana thamani tu ,sasa nifanyeje kaka
Kaka wewe acha tu .Nilkuja kugundua mwanaume ni punda nilipoona bibi wa miaka 50+ anamsubir mume wake ambae nae choka mbaya eti ampe hela ya kushonea nguo
Nikajisemea moyoni kwamba kumbe hawa watu tutawahudumia mpaka kufa
dada wanaume wana mentality za kichoyo mno ndiomana now mostly wapo radhi walelewe, na wataliwa sana matobo.
Ya ghafla kama mke umeamka ukamkuta ndani?Sio ajabu hata kidogo, na sababu kubwa ni yale mabadiliko ni ya ghafla japo tuliyajua kabla.
Gradually watu wanaelewa na kuyaishi majukumu yao.