ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,658
- 127,393
Unadhani kama mtu hajazoea kununua chakula in bulk, kupika home, kuacha kodi ya mezani...kesho akiamka anaanza na huo mchakato, anazoea tu...its a shock mama, lazima akili izoeshwe!!!Ya ghafla kama mke umeamka ukamkuta ndani?