Baada ya kuniumiza, amerudi anataka turudiane

Kweli first love ina nguvu sana, unaonesha dhahiri aliyekuumiza ndo mwenye dhamana ya furaha yako ya kweli.
 
Niliwahi leta thread hapa kuhusiana na experience yangu ya kuwa baby mama.
Ofcourse niliumia sana kwa yaliyo tokea,ila sikuwa na budi kumove on.Doctor wangu alinisaidia sana kisaikolojia,Mungu ambariki.

Sikuwahi mnyima kuja mwona mwanaye kila alipojisikia.Na still simnyimi kumwona mwanaye kwani ni damu yake.Baada ya muda kupita na counselling za kutosha,nilifanikiwa mwondoa moyoni na mawazoni mwangu.Doctor wangu alinisaidia kuyaona maisha katika mwanga mpana,hadi kupelekea kuja kumkubali mwanaume mwingine aliye kuwa ananipenda kabla hata sijapatwa na mkasa wa kuwa baby mama.Jamaa alinipenda na still ananipenda sana,na ndio niko naye sasa kimapenzi.

Anampenda sana mwanangu na wametokea kuelewana sana tumekuwa tukispend week ends pamoja kama family.Tumesafiri sehemu mbalimbali pamoja na mwanangu kama Zanzibar, Mombasa na Dubai.

Tatizo ni kama mwezi baba wa mtoto wangu ameanza kurudi kwa kasi kwangu,akitaka turudiane tuanzishe family na mwanetu.Anadai hataki mwanae alelewe na mwanaume mwingine.

Nimechunguza nikagundua yule mwanamke alokwenda mtambulisha kwao wameachana,sababu hasa sizijui.Namshangaa kurudi na kutaka kuniharibia furaha yangu niliyoipata baada ya kuumia sana.

Wanaume kuweni na msimamo,msipende haribu furaha za wanawake.Ni kweli nilimpenda sana ila aliniumiza sana,sasa kwanini anione nimerudi kwenye furaha yangu atake kuiharibu.Huyu niliye naye kwa sasa nampenda sana na sina mpango wa kuachana naye.Mwanao atabaki kuwa mwanao,live with it man.
hapo kabla mlifunga ndoa ???
na mlipataj mtot bila kufunga mdia??
kama mlipata mtot bila kufung ndoa uko against na God's laws so kinachokitkea mtokeo ya kutotii..
asnte na hayo
sijui umenielewaa...

Mkuria Mnaa
ila
Mpolee
 
Niliwahi leta thread hapa kuhusiana na experience yangu ya kuwa baby mama.
Ofcourse niliumia sana kwa yaliyo tokea,ila sikuwa na budi kumove on.Doctor wangu alinisaidia sana kisaikolojia,Mungu ambariki.

Sikuwahi mnyima kuja mwona mwanaye kila alipojisikia.Na still simnyimi kumwona mwanaye kwani ni damu yake.Baada ya muda kupita na counselling za kutosha,nilifanikiwa mwondoa moyoni na mawazoni mwangu.Doctor wangu alinisaidia kuyaona maisha katika mwanga mpana,hadi kupelekea kuja kumkubali mwanaume mwingine aliye kuwa ananipenda kabla hata sijapatwa na mkasa wa kuwa baby mama.Jamaa alinipenda na still ananipenda sana,na ndio niko naye sasa kimapenzi.

Anampenda sana mwanangu na wametokea kuelewana sana tumekuwa tukispend week ends pamoja kama family.Tumesafiri sehemu mbalimbali pamoja na mwanangu kama Zanzibar, Mombasa na Dubai.

Tatizo ni kama mwezi baba wa mtoto wangu ameanza kurudi kwa kasi kwangu,akitaka turudiane tuanzishe family na mwanetu.Anadai hataki mwanae alelewe na mwanaume mwingine.

Nimechunguza nikagundua yule mwanamke alokwenda mtambulisha kwao wameachana,sababu hasa sizijui.Namshangaa kurudi na kutaka kuniharibia furaha yangu niliyoipata baada ya kuumia sana.

Wanaume kuweni na msimamo,msipende haribu furaha za wanawake.Ni kweli nilimpenda sana ila aliniumiza sana,sasa kwanini anione nimerudi kwenye furaha yangu atake kuiharibu.Huyu niliye naye kwa sasa nampenda sana na sina mpango wa kuachana naye.Mwanao atabaki kuwa mwanao,live with it man.
Mombasa....???!!! Duh..!! Kwa hiyo mume wa kwanza hakuwahi kukufikisha mombasa..!!
 
Umemsahau wakati mawasiliano yapo? Tuliza akili chagua jibu sahihi. Tena uzuri umegewa multiple choices
 
Dada mshirikishe mumeo mtarajiwa jambo hilo kuondoa sintofahamu kwake.....ikiwezekana mwombe kukutàna naye uwepo na mumeo mpya na umweleze ambavyo unataka hatarudi kukusumbua tena ........mwisho weka utaratibu wa wazi wa kuja kumwona mtoto
 
Wanarudigi hawa sio watu wakuwaamini

Wewe huoni karudi kwa yule aliyemtosa zamani lkn hapa anadai jamaa alikuwa anampenda toka awali na baada ya mambo kuharibika ndio kamfikiria huyu
 
Hahahah you guys are so funny,wajua kwanza mods wamebadili title ya thread yangu so imenichukua muda kutrace.Pili nimekuwa najiuliza hili swali so many times,hivi hawa members wa jf ndo hawa hawa wa tz wa huku mtaani au?you so full of negative perception,also you sound so perfect,why??stop pretending

Hadi nimendika haya most of your comments zinaumiza.mie sio kigeugeu,nikisema yes ni yes and no ni no.so please let's be real and discuss real issue because this is not a movie or drama.

Nina job,i have a boy to take care of,so you can imagine...
 
last time nilikwambia huyo mwanaume atarudi na atakugonga.ukapuuza nilichosema.naona umeamua kukiri kijanja. tueleze kuwa amekugalagaza tena.kama humtaki mngemalizana hukohuko huo mrejesho hauko sawa kwakuwa umempa nafasi ya kuja kwako pamoja na ubazazi alioufanya.pia unafuatilia maisha yake!

Wrong hata hajanigusa.bt can you imagine anamtumia mamake sasa kuniwin over,dah you men are a piece of works.
 
.
.hapo kabla mlifunga ndoa????

Mkuria Mnaa
ila
Mpolee

Hapana,ndo karudi na anataka ndoa kabisa,mamake ndo anamsaidia kunisoften
 
Back
Top Bottom