Baada ya kuniumiza, amerudi anataka turudiane

Baada ya kuniumiza, amerudi anataka turudiane

Usilubali kuwa spair tyre atapata mwingine atakudump tena simama hapo ulipo na ulinde furaha yako
 
mi yenyewe nimemshangaa mshenzi huyu
Unaonekana unahusika, haiwezekani ukajibu kwa hasira namna hiyo. Mapenzi kama siti ya gari, ukisimama ushuke mwenzio anakaa nci nci nci nci
 
Ngumu sana kumwacha uliye mpenda ukimpa nafas tu ya kukutana baaaaas anamaliza mchezo
 
ndo maana wanaume tunashauriwa kutokuingia katika mahusiano na mwanamke ambaye tayari ana mtoto maana ipo siku mwenye mtoto atarudi na kutibua yale yote uliyowekeza na kugharamia kwa mwanamke huyo. binafsi sitooa mwanamke mwenye mtoto
 
So, ume-move on na unampenda uliye naye kwa sasa, ila bado umechunguza na kugundua kuwa mzazi mwenzio aliachana na mchumba wake huh?

I smell drama, baby mama.

Nimechunguza kujua cause ya his sudden change of heart,ila sikuwa na time naye kabisa.
 
Kama ungekuwa umeshamsahau hata hii thread usingeanzisha
baada ya kupelekwa mombasa na dubai naona una hamu na 'mateso' yako ya zamani

No siwezi mjibu live,ndo cause ya kuleta hii thread,am happy where i am now.ni mtu statements mitandao so he will get the message
 
ndo maana wanaume tunashauriwa kutokuingia katika mahusiano na mwanamke ambaye tayari ana mtoto maana ipo siku mwenye mtoto atarudi na kutibua yale yote uliyowekeza na kugharamia kwa mwanamke huyo. binafsi sitooa mwanamke mwenye mtoto

No usiwaze negative hivyo,sometimes things just happen.
 
Ndio maana kila siku nyuzi za kiwaponda mliokwisha totoa haziishi.

Sababu ya kutojitambua kwenu, kwanza umezalishwa na jamaa mwingine-usivyo na huruma umempelekea mshikaji wa watu mashine used na majukumu yasiyomuhusu juu.
Saa hii tena unakuja kututhibitiashia kuwa single mam ni vigeu geu.
 
Wanatabia za kuwa undefined! Not rational
Ni shida kuwaweka ndani!
 
akija mwona mwanae stori zihusu mtoto tu usiruhusu vitu vilivyo nje ya mada.mkimbieeeeee
 
Back
Top Bottom