Baada ya kuniumiza, amerudi anataka turudiane

Baada ya kuniumiza, amerudi anataka turudiane

Ndio maana kila siku nyuzi za kiwaponda mliokwisha totoa haziishi.

Sababu ya kutojitambua kwenu, kwanza umezalishwa na jamaa mwingine-usivyo na huruma umempelekea mshikaji wa watu mashine used na majukumu yasiyomuhusu juu.
Saa hii tena unakuja kututhibitiashia kuwa single mam ni vigeu geu.
Hata ambao hawajazalishwa wana mashine used

Kwani huyo mwanaume alimfunga mnyororo?
Kuna wanawake wengi ambao hawajazaa angeenda kwa hao, lakini amechagua kuwa nae na kuzaa kwake hivyo hivyo

Pita hivi na stress zako, muache mdada wa watu
 
Kuwa kama boda boda mama, usiwe na reverse
 
Kutokana na maelezo na hitimisho lako nafikiri wanawake ndio wanatakiwa kuwa na msimamo kwani baada ya kurudi hukuwa na haja ya kuchunguza kwanini amerudi ungeendelea na maisha yako mambo kama haya ndio yanafanya watu wawaogope single mother
 
Niliwahi leta thread hapa kuhusiana na experience yangu ya kuwa baby mama.
Ofcourse niliumia sana kwa yaliyo tokea,ila sikuwa na budi kumove on.Doctor wangu alinisaidia sana kisaikolojia,Mungu ambariki.

Sikuwahi mnyima kuja mwona mwanaye kila alipojisikia.Na still simnyimi kumwona mwanaye kwani ni damu yake.Baada ya muda kupita na counselling za kutosha,nilifanikiwa mwondoa moyoni na mawazoni mwangu.Doctor wangu alinisaidia kuyaona maisha katika mwanga mpana,hadi kupelekea kuja kumkubali mwanaume mwingine aliye kuwa ananipenda kabla hata sijapatwa na mkasa wa kuwa baby mama.Jamaa alinipenda na still ananipenda sana,na ndio niko naye sasa kimapenzi.

Anampenda sana mwanangu na wametokea kuelewana sana.tumekuwa tukispend week ends pamoja kama family.Tumesafiri sehemu mbalimbali pamoja na mwanangu kama Zanzibar,mombasa na dubai.

Tatizo ni kama mwezi baba wa mtoto Wangu ameanza kurudi kwa kasi kwangu,akitaka turudiane tuanzishe family na mwanetu.Anadai hataki mwanae alelewe na mwanaume mwingine.

Nimechunguza nikagundua yule mwanamke alokwenda mtambulisha kwao wameachana,sababu hasa sizijui.Namshangaa kurudi na kutaka kuniharibia furaha yangu niliyoipata baada ya kuumia sana.

Wanaume kuweni na msimamo,msipende haribu furaha za wanawake.Ni kweli nilimpenda sana ila aliniumiza sana,sasa kwann anione nimerudi kwenye furaha yangu atake kuiharibu.Huyu niliye naye kwa sasa nampenda sana na sina mpango wa kuachana naye.Mwanao atabaki kuwa mwanao,live with it man.
move on
 
Hata ambao hawajazalishwa wana mashine used

Kwani huyo mwanaume alimfunga mnyororo?
Kuna wanawake wengi ambao hawajazaa angeenda kwa hao, lakini amechagua kuwa nae na kuzaa kwake hivyo hivyo

Pita hivi na stress zako, muache mdada wa watu
Hongera kwa kuwa na mtoto.

Muwe mnaeleweka bana.
 
Huyo karudi kuja kukuharibia, Mwangalie kwa jicho la tatu.
BAADHI ya wanaume wanapenda kukuona ukikosa furaha mara anapokuacha au ukikosa mpenzi mwingine. Sasa huyo huwenda kaona au kasikia kwa kuambiwa kuwa umepata mpenzi mnayependana naye. Sasa anarudi kukuharibia kwa sababu hizo nyepesi eti hataki mwanaye alelewe na baba mwingine. Mwanzo Wakati anakuacha hakulijua hilo kuwa ipo siku mwanae atalelewa na baba mwingine??. Au alitegemea wewe ungekaa mpweke milele??.
Ila hakikisha unaheshimu kama mzazi mwenzio tu, pia usiache kumpa fursa ya kumhudumia mwanae /kuwa karibu mwanae kwa kuwa ni Baba yake mzazi ila wewe usithubutu kumrudia huyo, atakuja kukuumiza mara mbili ya awali.
Hongera sana kwa kupata mpenzi mwingine mwenye kukidhi haja ya moyo wako.
 
Kama ungekuwa umeshamsahau hata hii thread usingeanzisha
baada ya kupelekwa mombasa na dubai naona una hamu na 'mateso' yako ya zamani
So, ume-move on na unampenda uliye naye kwa sasa, ila bado umechunguza na kugundua kuwa mzazi mwenzio aliachana na mchumba wake huh?

I smell drama, baby mama.
Wakuu heshima kwenu "siku zote nimekuwa nikisoma shauri zenu huwa mnajibu vizuri sana.
 
Niliwahi leta thread hapa kuhusiana na experience yangu ya kuwa baby mama.
Ofcourse niliumia sana kwa yaliyo tokea,ila sikuwa na budi kumove on.Doctor wangu alinisaidia sana kisaikolojia,Mungu ambariki.

Sikuwahi mnyima kuja mwona mwanaye kila alipojisikia.Na still simnyimi kumwona mwanaye kwani ni damu yake.Baada ya muda kupita na counselling za kutosha,nilifanikiwa mwondoa moyoni na mawazoni mwangu.Doctor wangu alinisaidia kuyaona maisha katika mwanga mpana,hadi kupelekea kuja kumkubali mwanaume mwingine aliye kuwa ananipenda kabla hata sijapatwa na mkasa wa kuwa baby mama.Jamaa alinipenda na still ananipenda sana,na ndio niko naye sasa kimapenzi.

Anampenda sana mwanangu na wametokea kuelewana sana.tumekuwa tukispend week ends pamoja kama family.Tumesafiri sehemu mbalimbali pamoja na mwanangu kama Zanzibar,mombasa na dubai.

Tatizo ni kama mwezi baba wa mtoto Wangu ameanza kurudi kwa kasi kwangu,akitaka turudiane tuanzishe family na mwanetu.Anadai hataki mwanae alelewe na mwanaume mwingine.

Nimechunguza nikagundua yule mwanamke alokwenda mtambulisha kwao wameachana,sababu hasa sizijui.Namshangaa kurudi na kutaka kuniharibia furaha yangu niliyoipata baada ya kuumia sana.

Wanaume kuweni na msimamo,msipende haribu furaha za wanawake.Ni kweli nilimpenda sana ila aliniumiza sana,sasa kwann anione nimerudi kwenye furaha yangu atake kuiharibu.Huyu niliye naye kwa sasa nampenda sana na sina mpango wa kuachana naye.Mwanao atabaki kuwa mwanao,live with it man.
Dada hongera usinkubali huyo mwanaume mharibifu,yupo mwanaume mmoja alimhadaa dada mmoja,akamfata demu mmoja mwenye hela akamuoa yamemkuta ya kumkuta,kumbe huyo demu alikuwa kaishazaa na sasa kaukwaa na amemuambukiza ukimwi,sasa ndiyo anarudi kwa huyo dada ili amwambukize naye-shit
 
Sijakusoma bado! Issue ni nini hapa? Unatushauri au unajipa angalizo?
 
Kama unampenda wa Sasa wa zamani unamfwatilia wa mini au unataka kukumbushia tatizo wanawake hamjui kuacha foreva
 
amerudi analia, anatia huruma. anataka turudiane eti nimsamehe eeh.

malaika band wanajua

sikiliza hitaji la moyo wako.
 
Mwambie humtaki yeye wala kuanzisha familia na yeye period. Kama anamtaka mtoto,akikua utampelekea amlee
 
Mapenz hv huwa yanatesa wanawake tu.
Kwa mwanaume aliyekamilika mapenzi hawez kuumizwa kichwa na mapenzi.kama mtu kaondoka zake ww inakuuma nn bcs utakuta umekutana na huyo mtu sehem ya ajab sana.
Kuwa strong usiwe approachable sana na mazingira ya nje.
 
Back
Top Bottom