Baada ya kuniumiza, amerudi anataka turudiane

Baada ya kuniumiza, amerudi anataka turudiane

Watz mlioko Jf punguzeni kuwa fake,mnaumiza watu kwa maneno yenu,nobody is perfect,sisi ni binadamu tu.Afu pia mods sijapenda kubadilisha title ya thread yangu mmenipa kazi sana leo kuisearch.
 
S
Dada mshirikishe mumeo mtarajiwa jambo hilo kuondoa sintofahamu kwake.....ikiwezekana mwombe kukutàna naye uwepo na mumeo mpya na umweleze ambavyo unataka hatarudi kukusumbua tena ........mwisho weka utaratibu wa wazi wa kuja kumwona mtoto


Siwezi mwambia baby wa sasa,najua ataumia sana,kwani amefanya kazi kubwa sana kunirudishia furaha yangu.Huenda akachukia wanawake for the rest of his life,and i can't live with that.

Natamani nimpe mtoto but siwezi huyu mtoto ni kama roho yangu.
 
Niliwahi leta thread hapa kuhusiana na experience yangu ya kuwa baby mama.
Ofcourse niliumia sana kwa yaliyo tokea,ila sikuwa na budi kumove on.Doctor wangu alinisaidia sana kisaikolojia,Mungu ambariki.

Sikuwahi mnyima kuja mwona mwanaye kila alipojisikia.Na still simnyimi kumwona mwanaye kwani ni damu yake.Baada ya muda kupita na counselling za kutosha,nilifanikiwa mwondoa moyoni na mawazoni mwangu.Doctor wangu alinisaidia kuyaona maisha katika mwanga mpana,hadi kupelekea kuja kumkubali mwanaume mwingine aliye kuwa ananipenda kabla hata sijapatwa na mkasa wa kuwa baby mama.Jamaa alinipenda na still ananipenda sana,na ndio niko naye sasa kimapenzi.

Anampenda sana mwanangu na wametokea kuelewana sana tumekuwa tukispend week ends pamoja kama family.Tumesafiri sehemu mbalimbali pamoja na mwanangu kama Zanzibar, Mombasa na Dubai.

Tatizo ni kama mwezi baba wa mtoto wangu ameanza kurudi kwa kasi kwangu,akitaka turudiane tuanzishe family na mwanetu.Anadai hataki mwanae alelewe na mwanaume mwingine.

Nimechunguza nikagundua yule mwanamke alokwenda mtambulisha kwao wameachana,sababu hasa sizijui.Namshangaa kurudi na kutaka kuniharibia furaha yangu niliyoipata baada ya kuumia sana.

Wanaume kuweni na msimamo,msipende haribu furaha za wanawake.Ni kweli nilimpenda sana ila aliniumiza sana,sasa kwanini anione nimerudi kwenye furaha yangu atake kuiharibu.Huyu niliye naye kwa sasa nampenda sana na sina mpango wa kuachana naye.Mwanao atabaki kuwa mwanao,live with it man.

Kutwa wanaume wengine, huwapa Taraka wake zao... bado wanawapenda...

Mke akisharudi Nyumbani kwao... Bwana anakwenda kubembeleza...

Ahh
.
.
Baba na kina mama nisameheni sana... Namrudia Mke Wangu Taraka hiyo siitambui...

Akiambiwa aangukie anatoa pesa nyingi kuliko mahari aliyotoa...( Chuma Ulete huyo...) (Hasara hiyo si ajabu..)

Sikiriza Tanzania Nzima... hiyoo hiyooo Sikiliza Ndaniya Nyumba... iyo iyoyooo

Jamani Hasira za Nini iyeehe iyeeh...

Mwisho... Wimbo Wa Maneno Machache Ulioimbwa na Bendi ya Sikinde Ngoma ya Ukae... Mama Baby yako si Mageni yashatokea sana Kitambo....

 
You just dont want to face it, you still love your ex. From reading between your lines, it is obvious that your current relationship is pretentious. You seem to have gotten into this relationship purely to help you forget him that hurt you. However, the truth be told, you dont love him as much as you loved the former. So, listen to your heart because you might live regretting why you didnt give him a second chance.
 
Enenda katika haki naye mungu atakusaidia..... Mungu alipomuambia mke wa rutu usiangalie nyuma ilikuwa na maana kutoangalia yale waliyopitia... Utakaporudi nyuma yatavuruga maisha yako yoteee...
 
Hahaaaa.....nasubiria miaka 2 ijayo utakua na kipya cha kutuambia.....
 
You can never trust a black man,nishajifunza na nimesema kamwe sitarudi nyuma,i will never fight for a dick.
 
Muombe mungu akusaidie kpnd anakuacha hakukumbuka kama mtt anahtaji mapenz ya baba na mama
 
ndo maana wanaume tunashauriwa kutokuingia katika mahusiano na mwanamke ambaye tayari ana mtoto maana ipo siku mwenye mtoto atarudi na kutibua yale yote uliyowekeza na kugharamia kwa mwanamke huyo. binafsi sitooa mwanamke mwenye mtoto
Ni kweli.
 
Usirdi tena kwake!! Itakula kwako. Kwakua hata uyo mchumba wake wameshindwana 7babu huzijui.
 
Back
Top Bottom