Baada ya kunidhalilisha kwa maneno "wee mwanaume au mvulana kauka nikuvae utanipa nini.."miaka 16 iliyopita leo ananiona wa dhamani

Kawaida ya watu husahau wema wanaotendewa au ubaya wanoutenda, kwa hali hiyo atakuwa kasahau maana yeye ndiye alitenda kwa mujibu wa unachosema. Ukiingia mahusinao na mwanamke then mkaachana ipo siku atakukumbuka maana tamaa ya mwanamke humrudia mumewe iwe wanatengana au wameachana au amedundwa na kwenda kwa wazazi wake, utasikia ooh nimekumbuka watoto kumbe kakumbuka mume
 
hivi mkuu 2002 tulikuwa tunatumia simu gani?
Kimobitel

Hio ina uhusiano gani na hiyo chai substandard alotupa

Yaan flow ya story na umri(undergraduate 2002) Wa Jamaa +level ya elimu(masters) afu unaandika hivu haimake sense
 
Kwani mkuu ukisema umesoma chuo hatutaelewa hadi ukitaje na jina?? Only in jf kila mwanachuo kasoma mlimani
 
Shida iko wapi mzee? Mi kuna demu way back 2012 alishawahi nimambia mi mwanaume suruali, nikamuambia poa ila ipo siku lazima nikutie kazi.

Tukapotezana kwa muda kidogo no communication wala nini, katika pita pita zangu fb nikamuona, nikam DM aka respond fresh tu, akanitoa namba. (hili lilikua kosa lake kubwa saaana) tukaendelea kuwasiliana for a while kabla hajarudi mkoani maana kwa sasa anaishi dar, alipofika tu nikamuomba kuonana akaona isiiwe kesi kakubali, nakumbuka nikamtia shughuli ya kibabe hadi akaniuliza siku hizi unatumia viagra? Baada ya kumaliza nikamuambia hivi ndivo wanaume suruali wanavotia kazi, nikaondoka sikumuachia hata senti, naona hata whatsaap kani block saizi
 
Back
Top Bottom