Baada ya kunidhalilisha kwa maneno "wee mwanaume au mvulana kauka nikuvae utanipa nini.."miaka 16 iliyopita leo ananiona wa dhamani

Wanawake ni viumbe ambao siwezi kabisa kuwaamini na kuweka nao malengo aisee ndo Biblia inatuasa wanaume tuishi nao wanawake kwa akili sana
 
Linapokuja suala la mahusiano, wengi wetu tumeshawahi kutendwa, kusalitiwa, kupigwa kibuti, kuchunwa na kuachwa solemba na mengine yanayofanana na hayo. Katika kuishi kwangu, nimegundua hilo siyo tatizo kabisa, ni kawaida sana na ni sehemu ya maisha. Wengi wetu tunashindwa kuhimili msongo unaotokana na hali hiyo, wengine huvuka mipaka hata kwenda kumdhuru mtu, kuua au kujiua. Katika hali kama hiyo, ni vyema sana ukamwamini Mungu sana na ndo kipindi cha kumshikilia sana Mungu, hujui ni kitu gani Mungu amekuandalia mbeleni kwa ajili yako na huyo mtu wako.

Mwaka 2002, nikiwa najiunga na chuo kikuu mlimani nilipata kufahamiana na dada moja, kwa mwonekano wa nje alionyesha kunipenda sana. Kipindi hicho mimi hata sijawahi kulala na mwanamke, sijui mapenzi yana rangi gani wala shape..... nikaingia kichwa kichwa... Nakumbuka nililala nae mara moja tuu. wiki iliyofuata rafiki zangu wakawa wananipa story, tukiwa pale Mabibo... day 1.. wananiambia wamemwona kuna jamaa kaja kumchukua na gari chuo..... Day 2... hivyo tena.. Day 3... Wamemwona disco na jamaa.... Nikachoka. Wakati huo na ushamba wangu na ulokole wangu aaah, sijui club wala disco, alafu yeye nikionana naye anajifanya mlokole sana. Daaaah, roho iliniuma sana.

Ikafika siku nikamfanyia surprise nikakuta madudu ya kutisha kwenye simu yake. Baada ya hapo tuligombana sana. Kilichoniuma alinitukana sana na kunidhalilisha sana. Kimsingi niligundua ni umaskini wangu ndo kisa cha kufanyiwa yote haya, na akatamka kabisa, "wee mwanaume au mvulana.... kauka nikuvae utanipa nini..". Niliumia nililia, nikawa nashinda kusikiliza nyimbo za gospel kwaya.

Maisha yakasonga, tukamaliza chuo. Sikumtukana wala kumfanyia kitu mbaya. Nikapata kazi, naye akapata kazi. Mungu si Athumani mimi nilipata kazi nzuri kuliko yeye. Baada ya hilo, nikaoa. Siku moja tukakutana tena chuoni UDSM 2008 nasoma masters. Daaah, akanishangaa sana, nimebadilika, nimependeza, na picha ya familia yangu na mtoto.... Roho ikamuuma sana, tena alivyo mropokaji akatamka kabisa kujuta kunipoteza.

Hapo yeye bado hajaolewa. To make story short, alikuja kuolewa baadaye sana kwa kuchelewa, i think 2011 ndo aliolewa. Ajabu ni kuwa mwaka huu 2018 amenikomalia sana kila wakati anataka tuonane, twende outings, nikajifanya mjinga kumkubalia... Akanipa wazo tupange chumba hapa Dar mimi na yeye tutakuwa tunakwenda kugegedana atakuwa anatoroka job, then jioni anarudi kwake.......
Duuuh, kweli dunia tambara mbovu.
Over my dead body... Miaka 16 imepita tangu unitukane na kunidhalilisha, leo unaona mimi wa thamani siyo? Umekuwa used and overused, leo unaniletea makapi kama siyo bwawa siyo? Wanawake kuweni na huruma basi.
Una hakika mlengwa yumo humu asome ujumbe wake?
 
Na ukirudi hata kwaajiri ya kumgegeda tu na sio mahusiano serious utakuwa unamkaribisha shetani tena akuvuruge.....

Na atakuvuruga kisawa sawa......

Mwambie apite vile......
 
Angalia,usije kuwa unaenda kuambukizwa VIRUSI VYA UKIMWI,maana binadamu wana roho mbaya kuliko unavyoweza kudhani!
 
Iv kuna wadada wana ujasiri huo wa kumwambia mwanaume mkagegedane ilihal umeolewa? Mhmm
And kuchelewa kuolewa mkuu sio tatzo wakat wa Mungu ukifka unakua ndo uliopangwa sio binadam so usimseme kisa alichelewa usimuhukum haupang ww ila swal langu ni hilo tu
 
Huyo hana lolote anataka mgawane mpunga wako na apige pigo la pili la kukufanya uichukie familia yako.Usirudi nyuma songa mbele mkuu.
 
Hakuna ubaya aliofany juu yako,maisha magumu sna hususani ktk jiji la dsm tunatoka katika jamii dhaifu kiuchumi,kina dada wanamahitaji mengi mno kwa wakati huo isingeweza kua rahisi kumgaramikia.Kumbuka kila baya lina zuri lake kosa moja aliwezi kufuta mema yote aliokutendea,jaribu kuwa muungwana mtimizie dada hitaji lake
 
Linapokuja suala la mahusiano, wengi wetu tumeshawahi kutendwa, kusalitiwa, kupigwa kibuti, kuchunwa na kuachwa solemba na mengine yanayofanana na hayo. Katika kuishi kwangu, nimegundua hilo siyo tatizo kabisa, ni kawaida sana na ni sehemu ya maisha. Wengi wetu tunashindwa kuhimili msongo unaotokana na hali hiyo, wengine huvuka mipaka hata kwenda kumdhuru mtu, kuua au kujiua. Katika hali kama hiyo, ni vyema sana ukamwamini Mungu sana na ndo kipindi cha kumshikilia sana Mungu, hujui ni kitu gani Mungu amekuandalia mbeleni kwa ajili yako na huyo mtu wako.

Mwaka 2002, nikiwa najiunga na chuo kikuu mlimani nilipata kufahamiana na dada moja, kwa mwonekano wa nje alionyesha kunipenda sana kipindi hicho mimi hata sijawahi kulala na mwanamke, sijui mapenzi yana rangi gani wala shape nikaingia kichwa kichwa nakumbuka nililala nae mara moja tuu wiki iliyofuata rafiki zangu wakawa wananipa story, tukiwa pale Mabibo. day 1.. wananiambia wamemwona kuna jamaa kaja kumchukua na gari chuo..... Day 2... hivyo tena.. Day 3... Wamemwona disco na jamaa nikachoka. Wakati huo na ushamba wangu na ulokole wangu aaah, sijui club wala disco, alafu yeye nikionana naye anajifanya mlokole sana daaaah, roho iliniuma sana.

Ikafika siku nikamfanyia surprise nikakuta madudu ya kutisha kwenye simu yake baada ya hapo tuligombana sana. kilichoniuma alinitukana sana na kunidhalilisha sana kimsingi niligundua ni umaskini wangu ndo kisa cha kufanyiwa yote haya, na akatamka kabisa, "wee mwanaume au mvulana.... kauka nikuvae utanipa nini..". niliumia nililia, nikawa nashinda kusikiliza nyimbo za gospel kwaya.

Maisha yakasonga, tukamaliza chuo sikumtukana wala kumfanyia kitu mbaya nikapata kazi, naye akapata kazi Mungu si Athumani mimi nilipata kazi nzuri kuliko yeye baada ya hilo, nikaoa siku moja tukakutana tena chuoni UDSM 2008 nasoma masters. Daaah, akanishangaa sana, nimebadilika, nimependeza, na picha ya familia yangu na mtoto roho ikamuuma sana, tena alivyo mropokaji akatamka kabisa kujuta kunipoteza.

Hapo yeye bado hajaolewa. To make story short, alikuja kuolewa baadaye sana kwa kuchelewa, i think 2011 ndo aliolewa. ajabu ni kuwa mwaka huu 2018 amenikomalia sana kila wakati anataka tuonane, twende outings, nikajifanya mjinga kumkubalia akanipa wazo tupange chumba hapa Dar mimi na yeye tutakuwa tunakwenda kugegedana atakuwa anatoroka job, then jioni anarudi kwake.
Duuuh, kweli dunia tambara mbovu.
Over my dead body... Miaka 16 imepita tangu unitukane na kunidhalilisha, leo unaona mimi wa thamani siyo? umekuwa used and overused, leo unaniletea makapi kama siyo bwawa siyo? Wanawake kuweni na huruma basi.
Mwambie asikuone wa "dhamani" eeeh!
 
anakuona umeshakauka anataka akuvae. usimkubalie huyo, ...kuna thread ililetwa inaitwa " kosa ni kupasha kiporo", itafute itakusaidia.
 
Hii Chai weka mdalasini kidogo

Yaan uandishi wako na flow haviendani na umri +masters ya udsm
 
Basi sawa ila mavi ya kale haya nuki

Mkuu evelyn salt alikuja na uzi humu "tatizo kupasha kiporo " utafute kwa faida yako
 
Back
Top Bottom