miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,803
- 49,109
Uwii
pole mkuu.. changamoto hio!Man down man down we need backup do you copy?
[emoji23][emoji23]
mkuu ke ukimchapa mkia vizuri hawezi kukuchunia hivo hata kama alikua hakupendi, jiongeze.
kama yapi mkuuUsijidanganye
Unaweza kupiga vizuri ila mambo mengine utopolo mtupu utaachwa tu
Commander in control ....this is Bravo 1 nothing is working we need the entire navy seal she is too strong... i repeat she is too strong!!Roger that [emoji16][emoji16]
Hii imeisha mkuuHabari za wakati huu wanaJF
Binafsi nipo mzima wa afya naamini pia nanyi mu wa wazima!
Kuna mdada nilifahamiana naye kutoka kwa aliyewahi kuwa mpenzi wangu. Ushemeji wetu ulidumu kwa muda mchache na baadaye tukawa wapenzi.
Yeye yupo west Kilimanjaro mimi nipo Simanjiro. Huyu mdada alionesha kunijali sana, huku akionekana kuhitaji kuwa na mimi kimwili hivyo kutoka na uzuri wake na vile anavyonijali sikuwa na jinsi nikaingia mtegoni, akasafiri kutoka West Kilimanjaro tuje tukutane Arusha.
Kweli sikupima na wala sikutumia kinga na sio kawaida yangu kabisa sijui nini kilitokea. Cha ajabu baada ya shughuli hiyo amerudi kwao amebadilika mazima. Napiga simu anapokea mwanaume, wakati mwingine akipokea anasema nitakutafuta muda ukifika.
Sasa kauli zake zinanichanganya ni mwezi mmoja sasa toka itokee.
Tafadhali kwa aliyewahi kukumbana na hili naomba ushauri wako.
Naomba usinikejeli kwa lolote kama hujaona cha kunishauri pita kimya.
Roger that[emoji23][emoji23][emoji23]Man down man down we need backup do you copy?
[emoji23][emoji23]
Inaonesh jamaa kimoj chaliikuna dada aliwahi nambia mwanamke huzidisha upendo/kupunguza/kupuuza kabisa baada ya kukutana nae kimwili, hivo jihukum mwenyewe kulingana pafomansi yako mlipokutana.
Nakuunga mkono kwa asilimia 100Kuna mahali ulifeli mkuu kwenye expectations zake.
Njoo inbox uniambie sababueKatika mahusiano kuna siri kubwa sana.
Mtu mwingine anaweza kuwa anavutiwa na wewe sana kabla hamja sex, mkisex basi na urafiki/upendo unaishia hapo.
Hata mimi iliwahi kunitokea hii, kuna binti alikuwa akinivutia sana, baada ya kukutana naye....ule mvuto wake uliishia hapohapo...usiniulize kwanini
ExactlyJiulize wewe mwenyewe ulifeli wapi, either haupo romantic au show ilikuwa chin ya kiwango
Aisee!!;, Inawezekana ni kweli.WANAWAKE WA ARUSHA NA MOSHI, UKITAKA UPENDWE NAO UJUE KUWACHAKATA HASWA...
HAWA WANAWAKE WANAPENDA KUGEGEDWA KAMA MBWA...
USIPOWAKUNA HAWA IPASAVYO WATAKUACHA KWA UDHALILI...
Ongeza na salut mkuuNakuunga mkono kwa asilimia 100
Masai Takwenya....Habari za wakati huu wanaJF