Baada ya kukutana naye kimwili amebadilika sana

Wala sikumpania lkn mkuu chakula kama inang'ang'ania kwa mdomo si inabidi tu ukule
Katika mahusiano kuna siri kubwa sana.
Mtu mwingine anaweza kuwa anavutiwa na wewe sana kabla hamja sex, mkisex basi na urafiki/upendo unaishia hapo.
Hata mimi iliwahi kunitokea hii, kuna binti alikuwa akinivutia sana, baada ya kukutana naye....ule mvuto wake uliishia hapohapo...usiniulize kwanini
 
Jiulize wewe mwenyewe ulifeli wapi, either haupo romantic au show ilikuwa chin ya kiwango
 
Katika mahusiano kuna siri kubwa sana.
Mtu mwingine anaweza kuwa anavutiwa na wewe sana kabla hamja sex, mkisex basi na urafiki/upendo unaishia hapo.
Hata mimi iliwahi kunitikea hii, kuna binti alikuwa akinivutia sana, baada ya kukutana naye....ule mvuto wake uliishia hapohapo...usiniulize kwanini
umemaliza kila kitu.
 
namaanisha zamani hamkua na tabia ya kutaka kujua kama yaliyomo yamo bt kwa sasa hili mmelipa kipaumbele sana.
Ila hii ipo kote, hata nyie mna msemo wenu kwamba hamuwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia. Me sioni kama ni kitu kibaya, japo sex is not everything katika mahusiano/ndoa ila inaplay part kubwa pia.
So ni vizuri ukawa na mtu ambaye ukiwa nae faragha unaenjoy kuepusha matatizo ya kuchepuka huko nje.
 
Back
Top Bottom