Baada ya kukutana naye kimwili amebadilika sana

masai1997

Member
Apr 12, 2018
7
15
Habari za wakati huu wanaJF

Binafsi nipo mzima wa afya naamini pia nanyi mu wa wazima!

Kuna mdada nilifahamiana naye kutoka kwa aliyewahi kuwa mpenzi wangu. Ushemeji wetu ulidumu kwa muda mchache na baadaye tukawa wapenzi.

Yeye yupo west Kilimanjaro mimi nipo Simanjiro. Huyu mdada alionesha kunijali sana, huku akionekana kuhitaji kuwa na mimi kimwili hivyo kutoka na uzuri wake na vile anavyonijali sikuwa na jinsi nikaingia mtegoni, akasafiri kutoka West Kilimanjaro tuje tukutane Arusha.

Kweli sikupima na wala sikutumia kinga na sio kawaida yangu kabisa sijui nini kilitokea. Cha ajabu baada ya shughuli hiyo amerudi kwao amebadilika mazima. Napiga simu anapokea mwanaume, wakati mwingine akipokea anasema nitakutafuta muda ukifika.

Sasa kauli zake zinanichanganya ni mwezi mmoja sasa toka itokee.

Tafadhali kwa aliyewahi kukumbana na hili naomba ushauri wako.

Naomba usinikejeli kwa lolote kama hujaona cha kunishauri pita kimya.
 
Yeye kashaachwa ajitahidi kusahau inawezekana alipiga show chini ya kiwango
Inauma sana kuachwa, wakati mwingine tuwe tunafanya risk assessment mapema ili kujua hatari iliyoko mbele na kuweza kujiepusha nayo.
Ukidate na mwanamke mashauzi hakikisha unamuacha mapema kabla hajakuacha
Ni kweli mkuu Kuna mahali amefelisha masai🤣🤣🤣
Muongezee sauti tu "man down....
 
Achana naye usijepe stress as long as mlikutana once huna haja ya kuendelea kujipa stress na baada ya miezi mitatu kapime ngoma.
By the way huenda alivyofikiri uko sivyo alivyokuta ulivyo.
Azingatie Sana huu ushauri
 

Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom