Baada ya kukutana naye kimwili amebadilika sana

Jipige kifua morani huyo alifata mbegu ya kimasai mmewe hawezi mpa mimba wanaokwambia umeperfom vibaya wana wivu ni mabeberu tu
 
Masai Takwenya....
Nakumbuka na mimi Kabula hawajamloga mtoto wa Watu alikuwa ananipenda sana yaani tukilala ananiambia nimugeukie, ila tangu wamloge nikimugeukia anasema ninamumalizia oxygen na mapua yangu makubwa eti nitakuja kumuua.

Mapenzi hupitia stage yaani anaanza, yanakua na kufa. Kwahiyo achana naye huyo muache aende
we boya nimejikuta nacheka kifala sana! Kwamba unammalizia oxygen? Aisee wanawake mungu anawona.
 
Habari za wakati huu wanaJF

Binafsi nipo mzima wa afya naamini pia nanyi mu wa wazima!

Kuna mdada nilifahamiana naye kutoka kwa aliyewahi kuwa mpenzi wangu. Ushemeji wetu ulidumu kwa muda mchache na baadaye tukawa wapenzi.

Yeye yupo west Kilimanjaro mimi nipo Simanjiro. Huyu mdada alionesha kunijali sana, huku akionekana kuhitaji kuwa na mimi kimwili hivyo kutoka na uzuri wake na vile anavyonijali sikuwa na jinsi nikaingia mtegoni, akasafiri kutoka West Kilimanjaro tuje tukutane Arusha.

Kweli sikupima na wala sikutumia kinga na sio kawaida yangu kabisa sijui nini kilitokea. Cha ajabu baada ya shughuli hiyo amerudi kwao amebadilika mazima. Napiga simu anapokea mwanaume, wakati mwingine akipokea anasema nitakutafuta muda ukifika.

Sasa kauli zake zinanichanganya ni mwezi mmoja sasa toka itokee.

Tafadhali kwa aliyewahi kukumbana na hili naomba ushauri wako.

Naomba usinikejeli kwa lolote kama hujaona cha kunishauri pita kimya.
Jaribu kujiangalia vizuri hasa mkuyenge wako, pili utakuwa unanuka mdomo tatu hujui mapenzi nne hukumpa hela tano wewe umekaa kindezi.
 
Hukumridhisha,.au mdomo ulikuwa unatoa harufu,.au unanuka jasho Sana au vyote au kaamua tu kukupotezea Mana kuna wanawake wanna hulka ya kiume..akishaliwa na mwanaume harud Tena..
 
Back
Top Bottom