Baada ya Kujifanya ' anakosoa ' sasa Mwandishi huyu ' amejirudi ' kwa kuwa ' typical sycophant ' ili Nduguye amteue Kisiwani Puerto Rico

Mjifunze kusoma lugha

Makala zake anaandika lugha za mafumbo sana, Huwezi kuelewa Kama umesoma shule au vyuo vya Kata

Enzi hizo ukiandikiwa sentensi tuliita tungo tata yahitaji ufikiri Sana

Kwa ufupi wewe unahitaji aandike lugha kavu ya moja kwa moja hiyo haiwezekani yeye ni verified user anafahamika

Wewe unaweza andika Hata Siri za mkeo humu kwa kutumia hiyo Fake ID

Kikubwa Jifunze kusoma lugha kwa jicho la Tatu, Usisome Kama gazeti

Makala zote za jamaa huwa anaficha ukweli Katika ya sentensi ,Soma vizuri lugha au nenda Udsm Pale Taasisi ya uchunguzi wa kiswahili TUKI zamani
 
Majizi chadema wakipewa hii nchi wanaiuza kwa wazungu .

Kila wakati wanajipendekeza kwa wazungu kama mazuzu na washamba fulani wasiojua historia ya wazungu kwenye nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…