Baada ya Kujifanya ' anakosoa ' sasa Mwandishi huyu ' amejirudi ' kwa kuwa ' typical sycophant ' ili Nduguye amteue Kisiwani Puerto Rico

Prognosticator

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,128
2,000
Hatimaye yule Mwandishi wa Habari Mr. Hungry kutoka Kisiwani Puerto Rico ambaye mara nyingi alikuwa akionyesha yupo sana katika ' Ukosoaji ' wa Rais na Serikali yake hapa Kisiwani baada ya Yeye pia kuona hali yake ya Uchumi pamoja na Media yake ameamua sasa ' Kujirudi ' na Kuanza ' Kujikomba ' kwa Kuandika ' Makala ' za kuwa upande ule ambao mara nyingi alikuwa akiupinga japo wenye akili tulijua mapema kuwa nini alikuwa anakitafuta.

Ni matumaini yangu makubwa sana kuwa kuanzia sasa hasa baada ya Kuziona ' Makala ' zake mbili tatu mahala fulani huku nikiamini kuwa zingine kama hizi nyingi zipo njiani zinakuja basi si ajabu kama Rais wa Kisiwa cha Puerto Rico atafanya ' uteuzi ' wowote hivi karibuni nina uhakika safari hii hatomsahau ' Wa Nyumbani ' Kwake Mr. Hungry ambaye kutokana na Uchumi wa Puerto Rico kuwa mbaya hata Yeye pia ' ameathirika ' vilivyo kupelekea ' Kuhamahama ' Ofisi kama Ndege anayetafuta malisho ili tu kuendana na Kasi.

Laiti kama Waandishi wa Habari wa hapa Puerto Rico wangekuwa hawapendi Kujipendekeza na Kujikomba kama Wenzao wa Tanzania nina uhakika Puerto Rico ingekuwa na ' a very strong Media ' ila hali ni tofauti mno hadi nimekuwa nikitamani hata Siku moja tu Waandishi wa Habari makini, weledi, wasio na njaa wala wasiopelekeshwa wa Tanzania waje tu kufanya ' Ziara ' hapa ili ' wawaambukize ' huo ' Ujasiri ' wao hawa wa hapa wakiongozwa na Mr. Hungry.

Nawasilisha.
 
Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
12,695
2,000
Hatimaye yule Mwandishi wa Habari Mr. Hungry kutoka Kisiwani Puerto Rico ambaye mara nyingi alikuwa akionyesha yupo sana katika ' Ukosoaji ' wa Rais na Serikali yake hapa Kisiwani baada ya Yeye pia kuona hali yake ya Uchumi pamoja na Media yake ameamua sasa ' Kujirudi ' na Kuanza ' Kujikomba ' kwa Kuandika ' Makala ' za kuwa upande ule ambao mara nyingi alikuwa akiupinga.
Mr P unaitwa huku kwa ndugu Genta
 
FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
May 27, 2016
4,350
2,000
Hatimaye yule Mwandishi wa Habari Mr. Hungry kutoka Kisiwani Puerto Rico ambaye mara nyingi alikuwa akionyesha yupo sana katika ' Ukosoaji ' wa Rais na Serikali yake hapa Kisiwani baada ya Yeye pia kuona hali yake ya Uchumi pamoja na Media yake ameamua sasa ' Kujirudi ' na Kuanza ' Kujikomba ' kwa Kuandika ' Makala ' za kuwa upande ule ambao mara nyingi alikuwa akiupinga japo wenye akili tulijua mapema kuwa nini alikuwa anakitafuta.

Ni matumaini yangu makubwa sana kuwa kuanzia sasa hasa baada ya Kuziona ' Makala ' zake mbili tatu mahala fulani huku nikiamini kuwa zingine kama hizi nyingi zipo njiani zinakuja basi si ajabu kama Rais wa Kisiwa cha Puerto Rico atafanya ' uteuzi ' wowote hivi karibuni nina uhakika safari hii hatomsahau ' Wa Nyumbani ' Kwake Mr. Hungry ambaye kutokana na Uchumi wa Puerto Rico kuwa mbaya hata Yeye pia ' ameathirika ' vilivyo kupelekea ' Kuhamahama ' Ofisi kama Ndege anayetafuta malisho ili tu kuendana na Kasi.

Laiti kama Waandishi wa Habari wa hapa Puerto Rico wangekuwa hawapendi Kujipendekeza na Kujikomba kama Wenzao wa Tanzania nina uhakika Puerto Rico ingekuwa na ' a very strong Media ' ila hali ni tofauti mno hadi nimekuwa nikitamani hata Siku moja tu Waandishi wa Habari makini, weledi, wasio na njaa wala wasiopelekeshwa wa Tanzania waje tu kufanya ' Ziara ' hapa ili ' wawaambukize ' huo ' Ujasiri ' wao hawa wa hapa wakiongozwa na Mr. Hungry.

Nawasilisha.
Duh! Hatari SANA!
 
Prognosticator

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,128
2,000
Kiukweli jamaa tangu aulize lile swali kwa bwana mkubwa, Bwana mkubwa hana hamu nae tena.

Samahani Mkuu huyo Jamaa yako yuko hapa Kisiwani Kwetu ambako Mimi GENTAMYCINE naishi huu mwaka wa 11 sasa au yupo nchi / mahala nje na hapa? Kwani ' post ' yako imenichanganya kidogo kwakuwa hapa Puerto Rico hatujawahi kuwa na Mwandishi aliyewahi Kumuuliza Swali Mheshimiwa ' Bwana Mkubwa ' wetu ( namaanisha Rais )
 
ruby garnet

JF-Expert Member
Apr 10, 2017
2,604
2,000
I see
images.jpeg
 
Prognosticator

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,128
2,000
Hahahahaha Njaa haina Baunsa....kama mbwai iwe mbwai tu bana

Naona Waandishi wa Kweli, Wakosoaji na tusiokuwa Wanafiki na ' typical flatterers ' kama Mr. Hungry wa hapa Kisiwani Puerto Rico tunazidi tu Kukimbiwa kila Uchao. Tena bora Mwenzetu alikuwa na Ofisi yake na amepanga Floor nzima japo sasa amerejea ' Stoo ' Kujihifadhi kwa muda huku akisubiri ' Uteuzi ' ila Mimi GENTAMYCINE ndiyo hata pa Kulala tu sina na maisha yangu yenyewe nayo ni ya ' Kuunga Unga ' tu kama Mabehewa mabovu ya TRL ya hapa Kisiwani Puerto Rico. Sijui na Mimi nianze pia Kujipendekeza na Kujikomba masikini ya Mungu kwani kama Nyangumi kanyoosha mikono yake Mimi Samaki Tasi ni nani nami nisitii bila shuruti?
 
My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,301
2,000
Hatimaye yule Mwandishi wa Habari Mr. Hungry kutoka Kisiwani Puerto Rico ambaye mara nyingi alikuwa akionyesha yupo sana katika ' Ukosoaji ' wa Rais na Serikali yake hapa Kisiwani baada ya Yeye pia kuona hali yake ya Uchumi pamoja na Media yake ameamua sasa ' Kujirudi ' na Kuanza ' Kujikomba ' kwa Kuandika ' Makala ' za kuwa upande ule ambao mara nyingi alikuwa akiupinga japo wenye akili tulijua mapema kuwa nini alikuwa anakitafuta.

Ni matumaini yangu makubwa sana kuwa kuanzia sasa hasa baada ya Kuziona ' Makala ' zake mbili tatu mahala fulani huku nikiamini kuwa zingine kama hizi nyingi zipo njiani zinakuja basi si ajabu kama Rais wa Kisiwa cha Puerto Rico atafanya ' uteuzi ' wowote hivi karibuni nina uhakika safari hii hatomsahau ' Wa Nyumbani ' Kwake Mr. Hungry ambaye kutokana na Uchumi wa Puerto Rico kuwa mbaya hata Yeye pia ' ameathirika ' vilivyo kupelekea ' Kuhamahama ' Ofisi kama Ndege anayetafuta malisho ili tu kuendana na Kasi.

Laiti kama Waandishi wa Habari wa hapa Puerto Rico wangekuwa hawapendi Kujipendekeza na Kujikomba kama Wenzao wa Tanzania nina uhakika Puerto Rico ingekuwa na ' a very strong Media ' ila hali ni tofauti mno hadi nimekuwa nikitamani hata Siku moja tu Waandishi wa Habari makini, weledi, wasio na njaa wala wasiopelekeshwa wa Tanzania waje tu kufanya ' Ziara ' hapa ili ' wawaambukize ' huo ' Ujasiri ' wao hawa wa hapa wakiongozwa na Mr. Hungry.

Nawasilisha.
Mkuu karibu Australia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom