Baada ya Kujifanya ' anakosoa ' sasa Mwandishi huyu ' amejirudi ' kwa kuwa ' typical sycophant ' ili Nduguye amteue Kisiwani Puerto Rico

Sijui ni mimi tu ila binafsi kwa makala za mayalla yuko mbali kabisa na serikali ya awamu ya tano.

Ila sema Watanzania wengi tu wavivu wa kusoma katika ya mistari, ama tunasoma bila kutathimini...

Kwenye uzi wa karibuni kuna mistari ameandika.

"Hawajui kuwa Magufuli hapangiwi?. Kama katiba alioapa kuilinda ameweka pembeni, who is EU"

Ukiudadisi huo mstari unaweza kuandika kitabu kizima.
 
Hujamtendea haki huyo mr Hungry. Makala zake Watu wachache sana wanaweza kuzielewa mpaka uwe great thinker kweli kweli kumuelewa.
Miaka fulani aliweka mada humu kuhusu uchimbaji mafuta,kaikunja ikakunjika haswaa,ila kwa mbinu za kimedani nikachangia kimafumbo kuonyesha nimemwelewa tofauti na wengine.Basi akalalamika kweli kwanini nimemwelewa.Yaani hakutaka aeleweke na yeyote.Alikuwa na "njaa" ya matusi tuu basi!:D:D.Yaani hapa wanaomshambulia ndio burudani kwake.Sie tunaomuelewa tunamuudhi.Huyu angekuwa ticha wa Hisabati wanafunzi wake wangekula mabuyu daily.Paskali wee mzee acha ukoloni bhana!ndio yale madingi yakirudi home watoto wakisikia funguo zinalia nje tu,wanazima tv na kukimbilia chumbani!Lione!:mad:
 
Back
Top Bottom