Tumesamehe ila iwe mwanzo na mwisho kumteua Mwanamke kuwa Waziri wa Ulinzi nchini Puerto Rico sawa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,034
Raia wenye Akili wa hapa Kisiwani nchini Puerto Rico tulishangaa mno kuona Mwanamke akipewa Wizara Nyeti, Ngumu na inayohitaji Mikakati yenye Ukomavu wa Mwanaume akipewa Mwanamke ili tu kuonyesha kuwa hata Wanawake nao wanaweza wakati Ukweli ni Kinyume chake hasa kwa Wizara kama hii.

Akina GENTAMICINE wenye Marafiki katika Jeshi la nchini Puerto Rico ( PRDF ) tulitaarifiwa kuwa moja ya sababu ya aliyekuwa Mkuu wao ( CDF ) Gen. Yobema kuomba Kustaafu ni baada ya kuona ameletewa Boss wa Kike na Kulazimishwa Kumtii badala ya Yeye kufanyiwa hivyo nae.

Tatizo halikuishia hapo bali hata Mkuu ( CDF ) Mpya Gen. Ndakum nae alivyoteuliwa alishangazwa kuona analazimishwa kufuata ya Waziri Mwanamke hasa katika Mambo ya Kimedani hali ambayo naambiwa ilianza kuleta Chuki baina ya Watendaji Wakuu ( hasa Majenerali ) wa Jeshi la nchini Puerto Rico ambayo ingeweza kuwa HATARI zaidi kwa Waziri Mwanamke mpaka Mteuwaji alivyotaarifiwa na kuamua rasmi kuchukua Maamuzi na Kumbadilisha huku akimweka sasa Waziri Mwanaume ambalo kutokana na Unyeti wa Majukumu ya Kijeshi ndilo lilikuwa Ombi lao Kuu kwa Amiri Jeshi wao Mkuu.

Natamani mno Siku moja Rais wetu hapa nchini Puerto Rico ( Kisiwani ) afanye Ziara ya kuja huko Kwetu Tanzania Ili ajifunze mengi kutoka kwa Mheshimiwa Rais Samia na pia aende hata Jeshini huko akaone Jinsi Wanawake wanavyopambana na Wanaume na kuwa Watendaji wazuri na makini.

Karibuni sana hapa Puerto Rico.
 
Ila nadhani ingekuwa ni jambo la busara kama kwenye upande wa waziri wa ulinzi, wangekuwa wanateuliwa watu waliowahi kufanya kazi za majeshi.

Sio mtu kasomea uhasibu akafanya kazi benki anakuwa wa waziri wa ulinzi.Nonsense
Waliowahi kufanya jeshini wenye rank gani?
 
Raia wenye Akili wa hapa Kisiwani nchini Puerto Rico tulishangaa mno kuona Mwanamke akipewa Wizara Nyeti, Ngumu na inayohitaji Mikakati yenye Ukomavu wa Mwanaume akipewa Mwanamke ili tu kuonyesha kuwa hata Wanawake nao wanaweza wakati Ukweli ni Kinyume chake hasa kwa Wizara kama hii.

Akina GENTAMICINE wenye Marafiki katika Jeshi la nchini Puerto Rico ( PRDF ) tulitaarifiwa kuwa moja ya sababu ya aliyekuwa Mkuu wao ( CDF ) Gen. Yobema kuomba Kustaafu ni baada ya kuona ameletewa Boss wa Kike na Kulazimishwa Kumtii badala ya Yeye kufanyiwa hivyo nae.

Tatizo halikuishia hapo bali hata Mkuu ( CDF ) Mpya Gen. Ndakum nae alivyoteuliwa alishangazwa kuona analazimishwa kufuata ya Waziri Mwanamke hasa katika Mambo ya Kimedani hali ambayo naambiwa ilianza kuleta Chuki baina ya Watendaji Wakuu ( hasa Majenerali ) wa Jeshi la nchini Puerto Rico ambayo ingeweza kuwa HATARI zaidi kwa Waziri Mwanamke mpaka Mteuwaji alivyotaarifiwa na kuamua rasmi kuchukua Maamuzi na Kumbadilisha huku akimweka sasa Waziri Mwanaume ambalo kutokana na Unyeti wa Majukumu ya Kijeshi ndilo lilikuwa Ombi lao Kuu kwa Amiri Jeshi wao Mkuu.

Natamani mno Siku moja Rais wetu hapa nchini Puerto Rico ( Kisiwani ) afanye Ziara ya kuja huko Kwetu Tanzania Ili ajifunze mengi kutoka kwa Mheshimiwa Rais Samia na pia aende hata Jeshini huko akaone Jinsi Wanawake wanavyopambana na Wanaume na kuwa Watendaji wazuri na makini.

Karibuni sana hapa Puerto Rico.
Yaani nchi ina raisi mwanamke wewe unashangaa mwanamke kuwa waziri wa ulinzi? Kati ya waziri wa ulinzi na amiri jeshi mkuu nani mkubwa?
 
Hamna la maana hapa ni rubbish tu
 
Tayari kichwa kimeshapata moto, huelewi kama Rais ndio Command in chief na ni mwanamke, Sasa hapo point yako ni nini?

Rubbish.
Huwa sipotezewi muda na 'Ngala Ngala' kama Wewe sawa?
 
Back
Top Bottom