Baada ya Kujifanya ' anakosoa ' sasa Mwandishi huyu ' amejirudi ' kwa kuwa ' typical sycophant ' ili Nduguye amteue Kisiwani Puerto Rico

Hatimaye yule Mwandishi wa Habari Mr. Hungry kutoka Kisiwani Puerto Rico ambaye mara nyingi alikuwa akionyesha yupo sana katika ' Ukosoaji ' wa Rais na Serikali yake hapa Kisiwani baada ya Yeye pia kuona hali yake ya Uchumi pamoja na Media yake ameamua sasa ' Kujirudi ' na Kuanza ' Kujikomba ' kwa Kuandika ' Makala ' za kuwa upande ule ambao mara nyingi alikuwa akiupinga japo wenye akili tulijua mapema kuwa nini alikuwa anakitafuta.

Ni matumaini yangu makubwa sana kuwa kuanzia sasa hasa baada ya Kuziona ' Makala ' zake mbili tatu mahala fulani huku nikiamini kuwa zingine kama hizi nyingi zipo njiani zinakuja basi si ajabu kama Rais wa Kisiwa cha Puerto Rico atafanya ' uteuzi ' wowote hivi karibuni nina uhakika safari hii hatomsahau ' Wa Nyumbani ' Kwake Mr. Hungry ambaye kutokana na Uchumi wa Puerto Rico kuwa mbaya hata Yeye pia ' ameathirika ' vilivyo kupelekea ' Kuhamahama ' Ofisi kama Ndege anayetafuta malisho ili tu kuendana na Kasi.

Laiti kama Waandishi wa Habari wa hapa Puerto Rico wangekuwa hawapendi Kujipendekeza na Kujikomba kama Wenzao wa Tanzania nina uhakika Puerto Rico ingekuwa na ' a very strong Media ' ila hali ni tofauti mno hadi nimekuwa nikitamani hata Siku moja tu Waandishi wa Habari makini, weledi, wasio na njaa wala wasiopelekeshwa wa Tanzania waje tu kufanya ' Ziara ' hapa ili ' wawaambukize ' huo ' Ujasiri ' wao hawa wa hapa wakiongozwa na Mr. Hungry.

Nawasilisha.
Tafuta maana ya neno Mayalla...utajua majina yanasadifu tabia
 
Ili mwandishi upendwe bongo wewe andika nakala za kuiponda dola, na uiponde kweli kweli, hata siku moja usidiriki kuisifia, maana watu watadai wala mlungula lumumba au unajipendekeza, wakisahau ndiyo dhana ya uandishi, sifia mazuri, ponda mabaya, waandishi wetu wana kazi sana...
 
Unamuuliza mkuu wa nchi swali ambalo waandishi wengine wangesita kuuliza, unakosoa na kusifia ukiwa na verified id Vs Mkosoaji anayetumia mafumbo kufikisha ujumbe wake, kubadili uhusika wa watu na nchi kwa kutumia majina ya kusadikika na Fake I'd.
Mkuu japo umetumia mafumbo(sijajua kwann umekosa ujasiri wa kumtaja moja kwa moja) lakini unayemuongelea ni jasiri.
 
Mjifunze kusoma lugha

Makala zake anaandika lugha za mafumbo sana, Huwezi kuelewa Kama umesoma shule au vyuo vya Kata

Enzi hizo ukiandikiwa sentensi tuliita tungo tata yahitaji ufikiri Sana

Kwa ufupi wewe unahitaji aandike lugha kavu ya moja kwa moja hiyo haiwezekani yeye ni verified user anafahamika

Wewe unaweza andika Hata Siri za mkeo humu kwa kutumia hiyo Fake ID

Kikubwa Jifunze kusoma lugha kwa jicho la Tatu, Usisome Kama gazeti

Makala zote za jamaa huwa anaficha ukweli Katika ya sentensi ,Soma vizuri lugha au nenda Udsm Pale Taasisi ya uchunguzi wa kiswahili TUKI zamani

Samahani naomba kujua hapa unamuongelea Mr. Hungry wa hapa Kisiwani Puerto Rico nilipo au labda ni Mr. Hungry wa nchi nyingine? Nasubiri jibu lako tafadhali kwani naona kama vile ' umeharisha ' sana hapa.
 
Majizi chadema wakipewa hii nchi wanaiuza kwa wazungu .

Kila wakati wanajipendekeza kwa wazungu kama mazuzu na washamba fulani wasiojua historia ya wazungu kwenye nchi hii.

Natamani sana kujua ni wapi labda katika ' thread content ' ya huu ' Uzi ' kumezungumziwa mambo ya Chama cha CHADEMA au CCM au ya Vyama vingine? Kuna Watu huwa ' mnanilazimisha ' wenyewe niwe nawajibu ' Kunya / Shombo ' na bahati nzuri mmenikuta katika ' Sekta ' hiyo nipo vizuri / vyema mno.
 
Mjifunze kusoma lugha

Makala zake anaandika lugha za mafumbo sana, Huwezi kuelewa Kama umesoma shule au vyuo vya Kata

Enzi hizo ukiandikiwa sentensi tuliita tungo tata yahitaji ufikiri Sana

Kwa ufupi wewe unahitaji aandike lugha kavu ya moja kwa moja hiyo haiwezekani yeye ni verified user anafahamika

Wewe unaweza andika Hata Siri za mkeo humu kwa kutumia hiyo Fake ID

Kikubwa Jifunze kusoma lugha kwa jicho la Tatu, Usisome Kama gazeti

Makala zote za jamaa huwa anaficha ukweli Katika ya sentensi ,Soma vizuri lugha au nenda Udsm Pale Taasisi ya uchunguzi wa kiswahili TUKI zamani
Ni kweli ukiwa verified user huwezi fikisha ujumbe moja kwa moja, ujumbe wako lazima uwe fikirishi hasa unaohusu serikali na watu maarufu
 
Mr Hungry ana akili nyingi, ukisoma mada zake between the lines, anamkejeli Mr president kimafumbo na kwa ajili kubwa. Hiyo 'African democracy' Ndio udikteta wenyewe , ila ukisoma kiukilaza utaambulia patupu

Kwani na huko Tanzania Kwenu kuna Mr. Hungry kama huyu Wetu hapa Kisiwani Puerto Rico?
 
Unamuuliza mkuu wa nchi swali ambalo waandishi wengine wangesita kuuliza, unakosoa na kusifia ukiwa na verified id Vs Mkosoaji anayetumia mafumbo kufikisha ujumbe wake, kubadili uhusika wa watu na nchi kwa kutumia majina ya kusadikika na Fake I'd.
Mkuu japo umetumia mafumbo(sijajua kwann umekosa ujasiri wa kumtaja moja kwa moja) lakini unayemuongelea ni jasiri.

Kumbe Mr. Hungry nae ni ' Jasiri ' Mkuu? Nilikuwa silijui hilo na itanibidi sasa niende BAKITA ili wakanipe ufafanuzi ' Kuntu ' wa neno ' Jasiri ' lako. Na kuhusu kutumia jina halisi nimeshasema Siku nyingi sana hapa ' Jamvini ' kuwa ' Kiuhalisia ' naitwa Mr. Kalemera Rwigyema Mazimpaka ila ' Kiubatizo ' naitwa GENTAMYCINE ANTIBIOTIQUE.

Nadhani nimekupa ufafanuzi uliokuwa unauhitaji.
 
Ndo maana mnaitwa mapopoma,Mwandishi akiamua kutumia lugha ya mafumbo kwa nn ninyi lugha hiyo hiyo?
Mfano huyo uliyemtaja katajwa wapi kwenye habari?
Au ndo mnajifanya waelewa kuliko wengine?

Nashukuru umewajibu Kiustaarabu hivi kwani huenda Mimi ningewajibu ninavyojua kuna Watu Krismasi yao hii na Mwaka Mpya ingekuwa mbaya Kwao kutokana na maneo yangu yanayochoma na kuumiza kabisa. Kuna ' Members ' humu ni Wanaume lakini wana ' vijitabia ' vya Ukike Kike, Kiherehere / Kimbelembele ( Lugezigezi )
 
Back
Top Bottom