Baada ya kugundua, utamwacha?

Baada ya kugundua, utamwacha?

Kuna mambo akinidanganya ahakikishe sitayajua maana nikiyajua tu naachana nae, vinginevyo kabla hatujaingia kwenye mahusiano ya kudumu aniambie ili nifanye informed decision kama niwe nae au la.

Akinidanganya hana mtoto kumbe anae, siku nikijua naachana nae on the spot. Aliwahi kua changudoa,aliwahi kutoa mimba,aliwahi kuolewa. Hayo anatakiwa kuniambia mapema,akificha siku nikijua naachana nae haraka sana.
 
Sijui ni namna gani tunaingia katika mahusiano bila kujua maisha ya nyuma ya wenza wetu yalikuwaje.
Haya mambo ya kuwa aliwahi kuzaa au changudoa yanatakiwa yajulikane kabla kabisa ya kuingia katika mahusiano
 
Kwa mahusiano ya kawaida hayo unaweza kuignore hata kama ikitokea amekuficha na ukajua,hakuna shida.

Kama ni mahusiano ya kudumu na yanapelekea nyie kuishi pamoja kama familia na akafanya serious mistake kama hiyo na badae ukajua inaondoa credits zote kwake.

Maana utakua ulifanya maamuzi bila taarifa zake zote tena za msingi. Mammbo kama kuzaa,kuolewa au kuoa kabla na ukaachika,kua changu doa must come to other part's knowledge kabla hajachukua maamuzi yoyote, akkiamua aamue akiwa na taarifa kamili.
 
usikie ana mtoto ni mkubwa tu huko kijiji kwao kamuachia bibi yake ndo utatamani uzikwe mzima maana

Umenikumbusha hapo Dasilaam wiki ilopita dada kafanyiwa send off .ijumaa kapenyezewa jamaa ana mtoto.

Jumamosi harusi haikufungwa
 
Ni shida ukiwa nae, utakosolewa kwa kila kitu Mkuu!

Upo tayari kwa asiyekukosoa lakini kakiri kuwahi kutoa mimba 3?

Huyo changu ambaye umeamua awe mtu wa future umefikiria madhara ya utoaji mimba km; premature birth,ugumba,miscarriages,underweight babies
 
Kutokumpenda mkosoaji haimaanishi kuwa sipendi kukosolewa kabisa, maisha yatakuwa hayana maana na wala hakuna alie perfect. Kwa upande wa kutoa mimba 3, kwangu siyo issue mradi si zangu kwa sababu sina kawaida ya kumtoa mimba mwanamke wangu. Pia endapo ametoa bila mimi kujua, nitareason nae na si kukurupuka tu.
Kwa upande wa kuoa changudoa, haina maana kuwa Nitaoa mwanamke yoyote tu, nina vigezo pia ambavyo ni vya ziada navyozingatia na pia si machangudoa wote wasio makini na matumizi ya kinga na wengi wao wako safe kuliko wale tunaowaona wako safi. Unaweza kukutana na mtu ukasema huyo ndie mwenye kujielewa lakini ukiichunguza historia yake, utaona hata changu wa barabarani ana nafuu, sasa si ni bora uwe open tu kumchukua hata changudoa alie wazi katika shughuli zake uwe psychologically prepared na yote?
 
ninachofanya nachukua katiba yangu ya jamhuri ya muungano wa tanzania sheria za ndoa za mwaka 77 hiyo ndio itakayoniangoza nimuache au niendelee nae kutoka na tatizo alilonalo
 
Akinidanganya kwamba ye ni bikra kumbe siyo,au nikithibitisha kwamba aliwahi kuwa na mahusiano ya kipenzi kabla hapo ni RED CARD TU! NO DISCUSSION!
 
Unayempenda ni yeye au historia ya maisha yake?. Hayo aliyoyapitia yatakua na nguvu endapo yataendelea kufanywa na mhusika. Ndo mana katika dini zetu zote kuna kitu toba. Hakuna mkamilifu . kila mtukufu unayemwona leo ana yake aliyofanya kipindi cha nyuma(hatuyajui) na kila mkosefu basi ana kesho yake ambayo mi na wewe hatuijui. Huenda akabadilika. Huwezi kumwacha mpenzi wako kwa mambo aliyopitia.
 
Unayempenda ni yeye au historia ya maisha yake?. Huwezi kumwacha mpenzi wako kwa mambo aliyopitia.
kwa hiyo ungekua bwana harusi wa yule dada mwenye simu ya halotel picha simesambaa akifanywa kinyume cha maumbile usingemwacha?
 
KIpendacho roho hula nyama mbichi...na mimi nadhani mpenzi sahihi ni yule utkae mkuta katika hali fulani kisha ukambadilisha utakavyo. yaliyopita ni kuyaacha tu kama yalivyokuwa maana ukitaka kufukunyua yaliyopita ata wewe pengine huyo anaweza akakuacha
 
Niliwahi ona pahala'' the life of relationship is not expirience but logic''' sijui mkuu unamaanisha hili
 
Back
Top Bottom