Baada ya kugundua kuwa niko JF amani imetoweka

cacico umenifurahisha sana; vipi na wewe unajua ID yake?

Sisi tunajuana ID wote tumo humu, tumekubaliana tukiwa humu tuelendelee kuwa Kaunga na .......... Ingawa sometimes kawivu kwa mbali kananiijia baada ya some comments; he doesn't seem to be bothered na my JF love Eiyer ana confidence kuliko mimi! LOL
kwanza he should b thankful kuwa unaflirt na Eiyer our virgin bro, hakugusi huyo, hang'ati awe na amani! hubby wangu ndio wa kuhurumia, maana naflirt na namba chafu ODM, kirua!
 
Last edited by a moderator:
afu we nikikukamataaaaaaaa! aliniambia kuna memba mpya chit chat ana jina la dada yake, dada yake anaitwa Catherine, i was like whaaaaatttttt??? nikmwambia hebu m-pm, ukute ndio yeye, akaniambia lazma a-pm! kataa hajakupm???? tushee mama lakini uwe na adabu sio unakwangua zote, mie sina hiyana!

hahahaha! Mwambie basi aniPM naona anachelewa. Lol. Mi staki kushare lakini, nataka wa peke yangu (sijui nitakuwa namtia kwenye handbag!)
 
Last edited by a moderator:
it would be so sad if one day JF is listed as one of the primary causes of marriage break-ups
 
Labda ulikutwa unajibu hoja kwenye picha za Kimbweka za mastaili yetu kwenye jukwaa lileeeeee......
 
kwanza he should b thankful kuwa unaflirt na Eiyer our virgin bro, hakugusi huyo, hang'ati awe na amani! hubby wangu ndio wa kuhurumia, maana naflirt na namba chafu ODM, kirua!

Haya waambieni cheichei!!!!
 
Last edited by a moderator:
Nshakusoma mpenzi cacico, ngoja nimpigie Asprin ajiandae kuteguliwa leo........ BADILI TABIA usije na habari yako ya kukandwa kiuno baada ya mechi:A S 465:
Subiri kwanza nimalizane na sweetlady afu nikuye.

acfn8o.jpg
 
Last edited by a moderator:
dah! Pole sana ma dearest. Ila ukweli ni kwamba sijui kwanini waume zetu huwa hawapend wake zao tuwe memba huku jf ama sijui it was meant for men only sipatagi jibu.

Wenzio sisi huwa tunajifichaga akiwa mezani wewe unakwenda kwa b/rum ukiskia stepa zake tu unaficha unafungua yahoo. Wengine tunafungaga laptop ghafla. Anyway kwakua tayari tatizo limeshaingia fanya hivi tulia wala usimsemeshe chochote yaani omba msamaha mara moja amekubali sawa hajakubali sawa wewe carryon with your duties. Jthd sana usionyeshe weak ness yako yaani timiza wajibu wako vyema ili asipate kosa endelevu. Pia sali ukimsihi mungu arejeshe amani hiyo.

Mwisho kabisa hivi janmani sisi wanawake tutajikomboa nini? Hivi kwanini ndoa zinakuwa kama gereza? Wakak na wababa wa jf kwanini hampendi wake zenu kuwa memba wa jf?

kwa bahati mbaya, mke wangu siyo mtandawazi, hata simu yake anaona mzigo. Kila siku tunapigana mkwara, kwa kuwa naweza kuwa na shida namtafuta, yeye yuko busy na mambo ya jikoni, simu iko mbali sana mpaka nachukia. Nimeamua kumnunulia kijimfuko, ili simu uwe shingoni kila mara. Kwani tayari na kaka yake alianza kumlalamikia, kuwa tangu aulewe, hataki kupokea simu zao.

Natamani awe member, na nimepanga kumfundisha mpaka ajue
 
babu we mwenyewe imagine mume kajilalia zake ingawa usingizi hauji hata kiss hajapata, neti kajishushia mwenyewe. Mke ndio cacico full kubusiana na vibabu vya humu, i love u nyingíi, i miss u ndio usiseme!! Hivi huyo mwanaume ana roho gani asikasirike!

msiri wangu #1 cacico nakupendaje? hebu njoo umsome Catherine hapa lol! mi mbavu sina. bora mye na Kaizer wangu tunajuana tupo humu so hakuna kuflirt na mbadala.

afu we nikikukamataaaaaaaa! aliniambia kuna memba mpya chit chat ana jina la dada yake, dada yake anaitwa Catherine, i was like whaaaaatttttt??? nikmwambia hebu m-pm, ukute ndio yeye, akaniambia lazma a-pm! kataa hajakupm???? tushee mama lakini uwe na adabu sio unakwangua zote, mie sina hiyana!

cacico umenifurahisha sana; vipi na wewe unajua ID yake?

Sisi tunajuana ID wote tumo humu, tumekubaliana tukiwa humu tuelendelee kuwa Kaunga na .......... Ingawa sometimes kawivu kwa mbali kananiijia baada ya some comments; he doesn't seem to be bothered na my JF love Eiyer ana confidence kuliko mimi! LOL

ye mwenyewe anatoka na hubby wangu, kila cku wanatumiana mapm! namshanga kunisimanga na tulizo la moyo wangu humu Asprin, njoo basi na we ukaguliwe! mwaaaahhhh Catherine!

kwanza he should b thankful kuwa unaflirt na Eiyer our virgin bro, hakugusi huyo, hang'ati awe na amani! hubby wangu ndio wa kuhurumia, maana naflirt na namba chafu ODM, kirua!

Kwahiyo mmeconclude nini sasa?
 
Mumeo ndio wale wanaopenda wa TZ WANAFIKI WANAOWAPIGIA MAKOFI HATA WAKIWATUKANA.
Mwambie ajiunge na JF MUWE MNAPAMBANA KWA HOJA ZILIZOKOMAA BILA CHENGA
 
Mueleweshe unacho kifanya jf!
Alaf mmeo gamba lazima anajua kinacho endelea jf.
 
Kwahiyo mmeconclude nini sasa?

Kwamba, ni vizuri kuaminiana. Maisha ya MMU ni usanii na fantansy tu. Mkijuana ID inaweza saidia kumjua mwenzako vizuri kama atakuwa huru.

Na kuhusu giLESi; anahitaji a hard talk with his hubby, ikiwezekana ampe ID na password yake kama hamuamini.
 
Mwenzio alikuwa anataka chakula cha usiku wewe upo busy JF lazima achukie.
 
Huyo jamaa yako ni member wa jf na haujui. Yule uliyekuwa unamponda jukwaani ndiye jamaa yako ndio maana kachukia.
 
Back
Top Bottom