Baada ya kugundua kuwa niko JF amani imetoweka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya kugundua kuwa niko JF amani imetoweka

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Jul 19, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  Mume wangu ni mwanasiasa mwenye wadhifa wa juu ndani ya CCM.
  Maisha yetu kwa ujumla ni ya amani na upendo, ukiachia mbali matatizo madogomadogo.
  Usiku wa kuamkia jumamosi iliyopita. nilikuwa na sleepless night, hivyo nikawa busy na JF.
  Mida ya saa usiku, mheshimiwa akataka kujua ni nani namuandikia ujumbe (nilikuwa nina reply comment). Akachukua simu na kukuta najibu michango ya JF.
  Nilishanhgaa amehamaki, akaninyang'anya simu na kuanza kutukana matusi makubwa huku akinifananisha na nyoka, mara aniite. Shetani nk
  Kuanzia siku hiyo hali nyumbani, haitikii salamu, amenuna, yaani amani na upendo vimetoweka.
  Jamani, nifanyeje mwenzenu?
  Naomba msaada wenu
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Pole sana, ngoja kwanza nitafute mkate wa leo nitarudi baadae
   
 3. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Muulize nini kinamkera kuhusu wewe kuwa memba wa jf,actually wewe kuingia jf ni advantage kwake kwa kuwa uwepo wako humu unapata a thing or tu vya kumshauri kwenye mambo yake ya siasa,binafsi sioni tatizo unless yeye awe ni mtongozaji humu.
  Btw most likely hii thread for sure ataisoma.
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Itakuwa ulikuwa unajibu post inayoiponda CCM nini!?
   
 5. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,852
  Trophy Points: 280
  Dah! pole sana ma dearest. ila ukweli ni kwamba sijui kwanini waume zetu huwa hawapend wake zao tuwe memba huku jf ama sijui it was meant for men only sipatagi jibu.

  wenzio sisi huwa tunajifichaga akiwa mezani wewe unakwenda kwa b/rum ukiskia stepa zake tu unaficha unafungua yahoo. wengine tunafungaga laptop ghafla. anyway kwakua tayari tatizo limeshaingia fanya hivi tulia wala usimsemeshe chochote yaani omba msamaha mara moja amekubali sawa hajakubali sawa wewe carryon with your duties. jthd sana usionyeshe weak ness yako yaani timiza wajibu wako vyema ili asipate kosa endelevu. pia sali ukimsihi Mungu arejeshe amani hiyo.

  mwisho kabisa hivi janmani sisi wanawake tutajikomboa nini? hivi kwanini ndoa zinakuwa kama gereza? wakak na wababa wa jf kwanini hampendi wake zenu kuwa memba wa jf?
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Chama legelege huzaa serikali legelege...Msaidie kuelewa kwamba nia si kuhujumu CCM. Ni kuamka na kuanza kuwatumikia wananchi
   
 7. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Hata wewe gfsonwin mmeo anakufanyia hivyo? why?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kumbe wanapitiaga eee nashukuru kwakuwa ujumbe unamfikia unabii unaanzia nyumbani,nakwambia jf inawaumiza sana ccm sababu wanapata ukweli,na hapo kajua unampondaga au kutoa siri mwambie ulijitoa ukiwa mwenyewejivinjari vizuri!!/!/ mimi wangu ananipa muda ananiambiia najua uko jf ikifika saa nne na nusu weka cm chini.maana naweza tobolea asubuhi
   
 9. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Samahani giLESi lakini mume wako ni wa hovyo sana.Ok hebu tukubali kijinga tu kuwa kuwa memba ni mbaya kwa mtazamo wake,hiyo ndo namna ya kudeal na missunderstand?Kutukana,kununa??!!Aahh,pole!Jamani mtaniwia radhi lakini nawaona watu walioko CCM kama wa hovyo hovyo tu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  This is a complete surprise to me kwamba eti kuna waume hawati mrs wao waingie jf,kisa ni nini hasa,wivu? Wanawaogopa ma sharp shooter kina Kaizer na Asprin? Waende zao huko,kha!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Kwa akili yake anajua mkewe tayari ni chadema maana ccm wenye akili za kupiga mbizi wakikosolewa tu mawazo yao yanahamia m4c. Hapo hata kula, full wasiwasi, tumbo joto, mvurugo, kuhara nk.

  Wewe ingia jf usimuogope maana anakunyima haki yako ya msingi kikatiba, mwisho wa siku muache apige mbizi maana ni upepo tu, utapita. Akizidi acha liwalo na liwe muambie jf ndio mpango mzima.
   
 12. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  polee mimi wa kwangu tulikutana humuhumu na jf ndo nyumbani kwetu...
   
 13. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  nadhani sio Jf pekee ni social network zote wanawake wengi waliopo kwenye ndoa wanakatazwa na waume zao..unajua kwenye hizi social network watu wanahappen to meet with new people so waume zenu wapo insecure wakihisi labda wataibiwa wake zao.,poleni mwaya ndo maisha ya ndoa sie ma single ladies tunapeta tu lol!
   
 14. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,852
  Trophy Points: 280
  to be sincere he even doesn't know jf. to him he is such kind of a person ambaye hobbies ziko steshened kwenye stuli ndefu na novo na yeye akishika pc basi ujue ni nyanga na wala siyo kwenye mitandao ya kijamii.
   
 15. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  au alikutana na pm za kimbeka na boflo nini?
   
 16. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Pole sana. Nakubaliana na mawazo ya Bishanga. Ni vema pia tutazame upande wa pili; inawezekana umekuwa unamkera kwa tabia yako ya kuamka usiku na kuwa bize na JF. Unajua tena JF ilivyo, sometime utacheka peke yako, mara utaguna, hii yote inaweza kuwa kero kwa mumeo. Hakuna mume atakayefurahi kuona mkewe anaamka usiku na kuwa bize na sim/comp.

  Muombe samahani. Acha tabia ya kushughulika na SHUGHULI NYINGINE YOYOTE USIKU na kumuacha mumeo amelala. Si vibaya ukamuelimisha kuhusu JF.
   
 17. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Hawa wameshindwa sasa wanajiogopa na wanakimbia hata vivuli vyao wenyewe!
   
 18. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #18
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,997
  Likes Received: 23,899
  Trophy Points: 280
  :ranger:
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,997
  Likes Received: 23,899
  Trophy Points: 280
  Hata mke wangu hajui kama mie ni member wa JF............. STUKA!!
   
 20. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #20
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Hivi wanawake hawawezi kujiongoza?Unajishugulishaje na mambo yasiyokuhusu?Yani nimlinde mtu na akili zake?Haiwezekani?
   
Loading...