Baada ya kugundua kuwa niko JF amani imetoweka

ila mtoa mada amesema maisha yao ni ya upendo na amani ukiachilia mbali matatizo madogo madogo. Inawezekana kati ya hayo matatizo madogo madogo ni huyu mdada kukosa interests kwa mumewe. Ndoa kuwa na amani na upendo si guarantee kuwa mwanaume anapewa muda wa kutosha. Pengine huo muda haupati kutoka kwa mkewe hivyo uvumilivu wake hujenga amani na mwanamke kuhisi upendo. Hata kama anapewa muda wa kutosha, unahisi ni kwanini akasirike!!
Mi sisupport wazo la kusema angetoka akachat pembeni, hata huko angeweza kubambwa. Hicho alichokuwa anawahi kupost humu angeweza fanya pindi mumewe hayupo. Kila jambo lina muda wake. Kama tunatoka jf, tunaingia kuoga, kuvaa, kufanya kazi zingine ni vipi ameshindwa kuacha jf kwa muda huo akawa na husband wake kudumisha huo upendo na amani!!

usiaunder estimate life complexities. ingekuwa busara sana kama angetoka afanyie mbali na mumewe hiyo ingeonyesha nidham na heshim zaid.
 
Hahahaha Kaizer popote pale ulipo, hebu njoo msome Catherine hapa. Inaelekea mi ni mtaalam wa flirtings...

babu we mwenyewe imagine mume kajilalia zake ingawa usingizi hauji hata kiss hajapata, neti kajishushia mwenyewe. Mke ndio cacico full kubusiana na vibabu vya humu, i love u nyingíi, i miss u ndio usiseme!! Hivi huyo mwanaume ana roho gani asikasirike!
 
Last edited by a moderator:
Dah! pole sana ma dearest. ila ukweli ni kwamba sijui kwanini waume zetu huwa hawapend wake zao tuwe memba huku jf ama sijui it was meant for men only sipatagi jibu.

wenzio sisi huwa tunajifichaga akiwa mezani wewe unakwenda kwa b/rum ukiskia stepa zake tu unaficha unafungua yahoo. wengine tunafungaga laptop ghafla. anyway kwakua tayari tatizo limeshaingia fanya hivi tulia wala usimsemeshe chochote yaani omba msamaha mara moja amekubali sawa hajakubali sawa wewe carryon with your duties. jthd sana usionyeshe weak ness yako yaani timiza wajibu wako vyema ili asipate kosa endelevu. pia sali ukimsihi Mungu arejeshe amani hiyo.

mwisho kabisa hivi janmani sisi wanawake tutajikomboa nini? hivi kwanini ndoa zinakuwa kama gereza? wakak na wababa wa jf kwanini hampendi wake zenu kuwa memba wa jf?

Wanawake mnazo nguvu nyingi sana tatizo ni kutokujua na kwa wale wanaojua, hamjiamini. Weakness ya mwaanaume inaanzia pale anapomtongoza mwanamke. Mpaka sasa wanawake wakiamua kuwa na umoja na kujiamini, wanaume watakuwa watumwa wa wanawake milele. Amen.
 
babu we mwenyewe imagine mume kajilalia zake ingawa usingizi hauji hata kiss hajapata, neti kajishushia mwenyewe. Mke ndio cacico full kubusiana na vibabu vya humu, i love u nyingíi, i miss u ndio usiseme!! Hivi huyo mwanaume ana roho gani asikasirike!

msiri wangu #1 cacico nakupendaje? hebu njoo umsome Catherine hapa lol! mi mbavu sina. bora mye na Kaizer wangu tunajuana tupo humu so hakuna kuflirt na mbadala.
 
Last edited by a moderator:
Nadhani ni mfumo dume tu..at first place naweza nikasema hivyo. Hii kama alivyosema mchangiaji mmoja inatokana na inferiority complex kwamba mke akiwa 'informed' atacharuka.
Pili inawezekana huyo mumeo ni 'JF phobiatic'..yaan yeye JF manake ni Upinzani..na JF kwake ni politics tu!..Watu kama hawa hawajishughulishi kujiuliza kwa nini Mods walianzisha majukwaa ya aina mbalimbali.
Tufike wakati tuwe 'multi plonged' in thinking!
 
Nafikiri huyo mumeo yumo humu na possibly anaharibu hivyo anajua u do the same!
 
gfsonwin...kwenye red umeniacha...

nyanga maana yake ni academic materials. yaani mtu ambaye ni msongo anakomaa na mavitu ya shule tu muda wote let x =y assume that the distance from the earth to the sun is constant kept what will be the next season to expect disasters. naamini kama wewe ni mtaalam wa mathematical modelling utakuwa umenielewa.
 
babu we mwenyewe imagine mume kajilalia zake ingawa usingizi hauji hata kiss hajapata, neti kajishushia mwenyewe. Mke ndio cacico full kubusiana na vibabu vya humu, i love u nyingíi, i miss u ndio usiseme!! Hivi huyo mwanaume ana roho gani asikasirike!
afu we nikikukamataaaaaaaa! aliniambia kuna memba mpya chit chat ana jina la dada yake, dada yake anaitwa Catherine, i was like whaaaaatttttt??? nikmwambia hebu m-pm, ukute ndio yeye, akaniambia lazma a-pm! kataa hajakupm???? tushee mama lakini uwe na adabu sio unakwangua zote, mie sina hiyana!
 
Last edited by a moderator:
nyanga maana yake ni academic materials. yaani mtu ambaye ni msongo anakomaa na mavitu ya shule tu muda wote let x =y assume that the distance from the earth to the sun is constant kept what will be the next season to expect disasters. naamini kama wewe ni mtaalam wa mathematical modelling utakuwa umenielewa.

oooh!! thanks.....unajua tena lugha za ki 1990s zimeanza kututoka
 
cacico umenifurahisha sana; vipi na wewe unajua ID yake?

Sisi tunajuana ID wote tumo humu, tumekubaliana tukiwa humu tuelendelee kuwa Kaunga na .......... Ingawa sometimes kawivu kwa mbali kananiijia baada ya some comments; he doesn't seem to be bothered na my JF love Eiyer ana confidence kuliko mimi! LOL
 
Last edited by a moderator:
Mume wangu ni mwanasiasa mwenye wadhifa wa juu ndani ya CCM.
Maisha yetu kwa ujumla ni ya amani na upendo, ukiachia mbali matatizo madogomadogo.
Usiku wa kuamkia jumamosi iliyopita. nilikuwa na sleepless night, hivyo nikawa busy na JF.
Mida ya saa usiku, mheshimiwa akataka kujua ni nani namuandikia ujumbe (nilikuwa nina reply comment). Akachukua simu na kukuta najibu michango ya JF.
Nilishanhgaa amehamaki, akaninyang'anya simu na kuanza kutukana matusi makubwa huku akinifananisha na nyoka, mara aniite. Shetani nk
Kuanzia siku hiyo hali nyumbani, haitikii salamu, amenuna, yaani amani na upendo vimetoweka.
Jamani, nifanyeje mwenzenu?
Naomba msaada wenu
Naye mfungulie account mpe!
 
Back
Top Bottom