DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,470
Huu msimu wa mpira unaenda kupooza kama uji wa mgonjwa.
Yanga walishalijua hili ndiyo maana mambo mengi wanafanya ya hovyo bila kujali, kuanzia usajili usio na tija, jezi na hata ile milioni 100. Unaweza kudhani naongea kishabiki ila nina maana yangu kuitaja Yanga katika hili.
Ni wazi Simba inaenda kuwa bingwa msimu huu ila ubingwa wake utafunikwa na mambo yasiyohusiana na mpira. Pia ratiba itakuwa inabadilishwa hovyo hovyo mno kutokana na changamoto mbalimbali zitakazokuwa zinajitokeza.
Bila Jamii Forums, Youtube na Instagram hamna ligi ya maana itafanyika na viwanjani mahudhurio yatapwaya mno. Hii mitandao yote inaenda kufungiwa na itakuwa inasuasua hadi mwakani.
Fungeni mikanda. Tunaingia zama za misukosuko.