Baada ya kufanya mapenzi, uume wangu hausimami tena

Baada ya kufanya mapenzi, uume wangu hausimami tena

Habarini wadau,

Ni wiki sasa tangu nifanye mapenzi na mdada fulani hivi amaye aliijituma vilivyo kunako ground na kujikuta wote majeruhi baada ya gemu kuisha.

Sasa ajabu ni kwamba uume wangu limegoma kusimama wima tangu siku hiyo,sasa ni wiki hii.
Sijawahi jibusti na kitu chochote ili kuongeza nguvu.

Ila tu nikubali kua nguvu nyingi ilitumika ili kuikabili timu pinzani ambayo ilionesha ufundi wa hali ya juu.
Maswali ninayojiuliza ni je hali hii nikawaida ama kuna mkono wa mtu.

no wonder alikuwa jini au mjumbe wa kuzimu! dunia haisomeki nw days! si kila unayemuona mtu ni mtu!
 
Wiki mbili nyuma ya 24 April jumlisha moja hadi leo 29 kama haijasimama bado piga simu polisi kitengo cha huduma za dharura!
 
Mpwa dah soln kamaumemvaa wamtu kuponampaka wakurukie nawewe naniuponyaji. wauhakika
 
Cheki. najamaawanaitwa taskforce kjsi wanasaidia. pia
 
Pole sana,check jina langu kwanza hapo juu,mimi ni mtalaam wa suala hayo.Masuala ya kijamii ndo maana watu wamenipachika jina hilo.Tatizo lako linaitwa electile disfunction au kwa ufupi ED.Kulingana maelezo yako inaonekana kuna tissue za uume wako zimepata mpasuko.Tatizo hilo hutoke mara chache kwa wanaumme kutokana na sababu uliyosema.Kwa mtu mwenye afya uwezekano wa kupona upo.Lakini lazima umwone daktari ziko zinazoweza kusaidia kupona haraka.Haitakiwi kukaa muda mrefu na hali hiyo kwani kuchelewa sana husababisha uhanithi.Au kilema cha kudumu
 
Ulichofanya ni sawa na kukopa nguvu za mwaka mzima, hivyo subiri mwaka upite. Halafu wenzio huwa tunafanya hivi: timu ikiwa kali basi wewe unalinda goli tu mpaka mpira ukiiisha managawana points sawa lakini yeye anakuwa ametumikia energy ya Jua wewe energy ya maziwa ya ng'ombe uliokunywa.
 
asa ulikuwabna demu mwingine.au ndo ulitaka kujichua mm sijakuelewa.but kama ulitumia nguvu nyingi then ni hali ya kawaida couse hisia ndio chanzo cha mashine kusimama....ila bora ikae hivyo hivyo ili uache zinaaaaa
 
Duhhhh mkuuu ulikomeshea sana ndiyo maana yamekukuta hayo pole sana ila nakushauri wahi kwenda hospital mapemaaa!!!
 
Kwanza ulifanya ngono na mke wa mwenzako, na huyo demu ana tego ndio imetokea hvyo hapo kwa mganga au kuomba msamaha kwa mumewe la cvyo utakuwa xhoga ndg yangu
 
Angalia hapo chini penye korodani kuna expiring date
 
Worry not ulifikia kiwango cha mwisho cha ashiki,nguvu zitarudi tu jaribu baadae
 
Habarini wadau,

Ni wiki sasa tangu nifanye mapenzi na mdada fulani hivi amaye aliijituma vilivyo kunako ground na kujikuta wote majeruhi baada ya gemu kuisha.

Sasa ajabu ni kwamba uume wangu limegoma kusimama wima tangu siku hiyo,sasa ni wiki hii.
Sijawahi jibusti na kitu chochote ili kuongeza nguvu.

Ila tu nikubali kua nguvu nyingi ilitumika ili kuikabili timu pinzani ambayo ilionesha ufundi wa hali ya juu.
Maswali ninayojiuliza ni je hali hii nikawaida ama kuna mkono wa mtu.

dushe lako umelipa sababu gani ya msingi ya kulifanya lisimame? umeenda kupiga game ikashindikana? au ndo nyie ambao mdindo ni 24/7 yaani dushe likigusa paja lako mwenyewe basi mnara huooo?
 
Back
Top Bottom