Miunda
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 530
- 183
Hahahahaha lol! ukienda usivae pichu labda inaweza kumuongezea hamasa kitu kikasimama dede 🙂🙂 kwa mara ya kwanza baada ya wiki ya kuwa doro.
Hahaha hahaha sina mbavu
Hahahahaha lol! ukienda usivae pichu labda inaweza kumuongezea hamasa kitu kikasimama dede 🙂🙂 kwa mara ya kwanza baada ya wiki ya kuwa doro.
Hiyo rahisi, mbona ishawatokea wana kiba hapa kitaa, ngoja nikupe dawa wanayo tumiaga..
Chukua pilipili mbuzi ambazo ni mbichi sokoni isage kwenye brenda na usiongeze maji mengi..
Chemsha mafuta ya trecta mpaka yaive..
Washa moto kwa makaa ya mawe..
Sasa chukua ndonga/dushenga lako lichovye kwenye juice ya pilipili alafu libanike kwenye moto wa makaa ya mawe kwa dk1, then liopoe lidumbukize kwenye wese la trekta inayochemka jikoni kwa sekunde kadhaa, ukisikia maumivu yoyote wakati huo kunya kidogo juice ya pilipili..
Alafu tuletee jibu hapa, yaani nidawa tosha na washkaji kibao wamepona nikiwemo na mimi.
Kutokana na kikao cha dharula cha jana usiku cha marijali kilichofanyika movenpick hotel na nikiwa kama mwenyekiti wa wanaume marijali TANZANIA nakufungia rasmi leseni yako ya urijali kwa muda wa miezi mitatu hadi pale kitendea kazi chako kitakapo anza kuonyesha uhai...otherwise tutakuondoa rasmi katika orodha ya marijali nchini TANZANIA....itifaki imezingatiwa.....
Parapandaaa Italia parapandaaa, Nalo dushe lako litakuwa limekwisha nyakuliwa kweeenda....!!
Linapoelekea dushe lako nikutosimama kabisa.
mbona umefurah ivyoHahahahahaha hahahahahaha
Mshahara wa dhambi ni mauti mkuu!,atendae dhambi hakika atakufa
Wote tusimame tuliombee kifo chema dushe la mwathirika wetu.
Mtoa mada huo uume bado hausimami?
Habarini wadau,
Ni wiki sasa tangu nifanye mapenzi na mdada fulani hivi amaye aliijituma vilivyo kunako ground na kujikuta wote majeruhi baada ya gemu kuisha.
Sasa ajabu ni kwamba uume wangu limegoma kusimama wima tangu siku hiyo,sasa ni wiki hii.
Sijawahi jibusti na kitu chochote ili kuongeza nguvu.
Ila tu nikubali kua nguvu nyingi ilitumika ili kuikabili timu pinzani ambayo ilionesha ufundi wa hali ya juu.
Maswali ninayojiuliza ni je hali hii nikawaida ama kuna,,pole hapo ni kutafuta dawa!!
Wote tusimame tuliombee kifo chema dushe la mwathirika wetu.
Heeee! sijui aligegeda binti wa wapi huyuu ?
Parapandaaa Italia parapandaaa, Nalo dushe lako litakuwa limekwisha nyakuliwa kweeenda....!!
Wote tusimame tuliombee kifo chema dushe la mwathirika wetu.