Baada ya kufanya mapenzi, uume wangu hausimami tena

Baada ya kufanya mapenzi, uume wangu hausimami tena

Kijana nenda kamwambie huyo dada uliyemgegeda tatizo lako, anaweza kuwa na tiba... POLE
 
Hahahahaha lol! ukienda usivae pichu labda inaweza kumuongezea hamasa kitu kikasimama dede 🙂🙂 kwa mara ya kwanza baada ya wiki ya kuwa doro.

Hausimami? Nani kasemaaa? Upo wapi nije kukutembelea?
 
Hahahahaha lol! ukienda usivae pichu labda inaweza kumuongezea hamasa kitu kikasimama dede 🙂🙂 kwa mara ya kwanza baada ya wiki ya kuwa doro.

Yaan kitasimama mpaka asikie maumivu then naondoka namwacha coz atakuwa ashapata tiba ya kuweza kusimamisha
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kijana haraka kamuone daktari( BABU) maana kwa mbaaaliiii naona ukhanithi unakunyemelea
 
Mtoa mada mwenyewe atakuwa anacheka tuu maana haya majibu
 
Inaonekana uko vizur kwenye hiyo field....
Nakushaur ufungue office kabxa cute b

Nina ofice mkuu kabisa sema wateja ndo wa shida ila nazani baada ya kumtibu mtoa mada akileta mrejesho apa wateja watajileta wenyew
 
Last edited by a moderator:
Hiyo rahisi, mbona ishawatokea wana kiba hapa kitaa, ngoja nikupe dawa wanayo tumiaga..

Chukua pilipili mbuzi ambazo ni mbichi sokoni isage kwenye brenda na usiongeze maji mengi..

Chemsha mafuta ya trecta mpaka yaive..

Washa moto kwa makaa ya mawe..

Sasa chukua ndonga/dushenga lako lichovye kwenye juice ya pilipili alafu libanike kwenye moto wa makaa ya mawe kwa dk1, then liopoe lidumbukize kwenye wese la trekta inayochemka jikoni kwa sekunde kadhaa, ukisikia maumivu yoyote wakati huo kunya kidogo juice ya pilipili..

Alafu tuletee jibu hapa, yaani nidawa tosha na washkaji kibao wamepona nikiwemo na mimi.
 
Back
Top Bottom