Baada ya kufanya mapenzi, uume wangu hausimami tena

Baada ya kufanya mapenzi, uume wangu hausimami tena

Habarini wadau,

Ni wiki sasa tangu nifanye mapenzi na mdada fulani hivi amaye aliijituma vilivyo kunako ground na kujikuta wote majeruhi baada ya gemu kuisha.

Sasa ajabu ni kwamba uume wangu limegoma kusimama wima tangu siku hiyo,sasa ni wiki hii.
Sijawahi jibusti na kitu chochote ili kuongeza nguvu.

Ila tu nikubali kua nguvu nyingi ilitumika ili kuikabili timu pinzani ambayo ilionesha ufundi wa hali ya juu.
Maswali ninayojiuliza ni je hali hii nikawaida ama kuna mkono wa mtu.

bado dushe linauguza majeraha
 
Ha ha hamia chama cha mashoga na wewe ugegedwe
 
umetembea na mke wa mpemba yakhe hapo ndio ushatiwa uchok.o tena
 
Uzinzi ni hatari.hata Mungu hapendi.tabia ya kula/kubanjua wake za wenzio sio ustaarabu hata kidogo.ni ufisadi tena mbaya sana.nenda kwa watumishi wa Mungu wakuombee,vinginevyo kaweke hilo dude chumba cha makumbusho.bahati nzuri hujaoa vinginevyo tungekusaidia kautaratibu wa kumtoa huyo mkeo kiu.
 
Back
Top Bottom