Baada ya kufanya mapenzi, uume wangu hausimami tena

Baada ya kufanya mapenzi, uume wangu hausimami tena

Kutokana na kikao cha dharula cha jana usiku cha marijali kilichofanyika movenpick hotel na nikiwa kama mwenyekiti wa wanaume marijali TANZANIA nakufungia rasmi leseni yako ya urijali kwa muda wa miezi mitatu hadi pale kitendea kazi chako kitakapo anza kuonyesha uhai...otherwise tutakuondoa rasmi katika orodha ya marijali nchini TANZANIA....itifaki imezingatiwa.....
 
Parapandaaa Italia parapandaaa, Nalo dushe lako litakuwa limekwisha nyakuliwa kweeenda....!!
 
Hilo co tatizo mkuu mi ilintokea kwa miaka 7 na badae ikakaa poa so we vumilia tu mda bado
 
wengine "kibao kata" wanafanya kama madensa wa kike wa Twanga, kwa uzuzu wako na wewe ukafurahi
poooolee ndugu. ishavunjika hiyo
 
Mkuu tafuta tiba haraka koz bila hivo utaishia kula kwa macho tuu...!
 
Tafuta mtu akule 0713 yako,kisha dushe litasimama kama kawa.Ukipuuzia ikipita mwezi mmoja dushe halitaamka tena!
Kazi ni kwako!!



Habarini wadau,

Ni wiki sasa tangu nifanye mapenzi na mdada fulani hivi amaye aliijituma vilivyo kunako ground na kujikuta wote majeruhi baada ya gemu kuisha.

Sasa ajabu ni kwamba uume wangu limegoma kusimama wima tangu siku hiyo,sasa ni wiki hii.
Sijawahi jibusti na kitu chochote ili kuongeza nguvu.

Ila tu nikubali kua nguvu nyingi ilitumika ili kuikabili timu pinzani ambayo ilionesha ufundi wa hali ya juu.
Maswali ninayojiuliza ni je hali hii nikawaida ama kuna mkono wa mtu.
 
Nina ofice mkuu kabisa sema wateja ndo wa shida ila nazani baada ya kumtibu mtoa mada akileta mrejesho apa wateja watajileta wenyew
Office yako ipo maeneo gan mkuu...??
Maan nahic na mm ntaumwa huo ugonjwa wa mtoa mada ili nije unitibu...hahaaaah.!!!
 
Inaonesha ulipopiga hiyo kitu ulikata kiu ya maisha yako. So usihangaike coz umepunguziwa gharama za kuhangaika na wanawake lkn pia umejiepusha na magonjwa yabzinaa na ukimwi.
SHUKURU MUNGU KWA DUSHE LAKO KUACHA KUSIMAMA
 
Dah mkuu mambo yako ndo imeisha hivyo! Wiki! Atakuwa amekuvunja. Anza tu kutafuta bwana
 
Labda umemla mke wa mtu na jamaa yake ameitega papuchi ya mkewe kwamba atakayemla tu kitu kisisimame sasa fanya utafiti
 
Back
Top Bottom