Baada ya kuchepuka amepewa masharti atoe mimba kunusuru ndoa

Baada ya kuchepuka amepewa masharti atoe mimba kunusuru ndoa

Mkuu kuua ni dhambi lakini kulea mtoto 1.5 kwenye familia pia ni issue nyingine. Fikiria wakwe zako utaweleza nini?
Mueleza nini wakati mambo yapo wazi kuwa umechepuka...hamna jinsi ni kutulia tuu alee huyu 1.5
 
Huyu shost alipata scholarship kufanya Masters huko nchi za mbali. Huko alipata danga la ki Irish. Mume alijitahidi kwa ticket yake mwenyewe alimtembelea mkewe mara moja. Mke aliuweka mchepuko pembeni kwa muda.

Pale chuoni kuna jumuia ya wa-Tanzania, katika kunywa bia.walimfahamisha mbongo mwenzao habari ya mzungu. Bibie aliyaruka na kuwasuta waliomfahamisha mumewe. Mume ilibidi amuamini mkewe na kurudi bongo.

Shule imekwisha amerudi bongo, kumbe amerudi na mimba changa ya mzungu. Ameamua kumkalisha mumewe na kumweleza ukweli. Mume anamuuliza sasa atampelekaje clinic mtoto wa kizungu? Toa mimba maisha yaendelee.

Shost ana wakati mgumu. Huku watoto wakubwa wako sekondari.

Fair!
 
Duuuu huyo Mwanaume ana upendo wa dhati kwa Mke wake sijawahi kuona wala kusikia kitu cha namna hiyo.
 
Siku hizi wanaume hakuna kabisa. Yaani mke aje na mimba ya mtu mwingine unamwambia aitoe kisha uendelee naye? Hata biblia imeruhusu wanawake kuachwa kwa uzinzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena anashiriki dhambi ya uuaji! Hiyo familia wanaishi wanawake wawili sio mke na mume.
 
Sasa na yeye.

Yani ukachepuke na Mzungu upate mimba na bado unarudi kwa mumeo kwamba una kigugumizi cha utoe au la?

Anawaza nn?
Hajihurumii huyo dada!
Kuna vitu hata havipaswi kufika level ya debates.
Mimba ya mtu mwingine?
Na unasema kabisa nn mimba ya fulani?
Na unataka bado ndoa?
Mxxxxxxxxiiiiie
Amemuonaje mumewe?
Kama alishaamua kuzaa huyo mtoto alirudi kufanya nn?
Kuna vitu ni kutaftiana dhambi tu jamani.
Kwa nn kutest ego ya mtu kwa Kiwango hiki?
Hapana aiseeh
 
Usikute mama ndiye mwendeshaji wa nyumba kiuchumi.
Sio kwa Kiwango hiki!
Admitting to a man that you are not caring his blood?
Mume wa ndoa?
Hapana aiseeeeh.
Its fatal na hamtakii mema hata huyo mtoto Alobeba.
Ujinga plus plus.
 
Kiukweli asitoe.

Kwasababu hakuna mwanaume anayekua na amani na mwanamke wake ambaye ameverify kumegwa nje.

Mshkaji anacheza na akili ya huyo binti.

Atatoa halafu jamaa atajiweka kando.
Ni ujinga tuu.
Yani una discuss vipi hatma ya mwanao na mtu asiye babake?
Yet utarajie kuna jema?
 
Huyu shost alipata scholarship kufanya Masters huko nchi za mbali. Huko alipata danga la ki Irish. Mume alijitahidi kwa ticket yake mwenyewe alimtembelea mkewe mara moja. Mke aliuweka mchepuko pembeni kwa muda.

Pale chuoni kuna jumuiya ya wa-Tanzania, katika kunywa bia walimfahamisha mbongo mwenzao habari ya mzungu. Bibie aliyaruka na kuwasuta waliomfahamisha mumewe. Mume ilibidi amuamini mkewe na kurudi bongo.

Shule imekwisha amerudi bongo, kumbe amerudi na mimba changa ya mzungu. Ameamua kumkalisha mumewe na kumweleza ukweli. Mume anamuuliza sasa atampelekaje clinic mtoto wa kizungu? Toa mimba maisha yaendelee.

Shost ana wakati mgumu. Huku watoto wakubwa wako sekondari.
Asiitoe, watu wana asili watoto sembuse hiyo. Acha ndoa ivunjike ikibidi
 
Siku hizi wanaume hakuna kabisa. Yaani mke aje na mimba ya mtu mwingine unamwambia aitoe kisha uendelee naye? Hata biblia imeruhusu wanawake kuachwa kwa uzinzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
utaacha wangapi ndugu yangu, cha muhim maisha yaendelee na papuchi hazichachi kwa taarifa yako.
 
Jamaa kashikiwa akili...hizi sio akili za kawaida! Kirahisi kabisaa..eti katoe mimba maisha yaendelee..ila yawezekana jamaa alikua nae anachepuka kwahiyo akaona hakuna mkamilifu.
 
Ndio hapo uanaume hakuna. Ndio wale rafiki zangu naoa mwenye kazi au msomi eti "tusaidiane majukumu". Mwanaume ukishaingiza jambo hilo kichwani umekwisha kwenye ukuu wako wa familia. Maana mke anaona mko sawa sawa.

Mwanaume mpumbavu sana huyo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Bro hili nimeshasema mara nyingi, siamini kabisa katika kusaidiana maisha kuna gharama ya kulipa.
 
utaacha wangapi ndugu yangu, cha muhim maisha yaendelee na papuchi hazichachi kwa taarifa yako.
Labda asiwe mke. Akishakuwa mke.....unapiga chini. So agongwe tu eti kisa utaacha wangapi. My dignity should not be traded against anything.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom