Baada ya kuchepuka amepewa masharti atoe mimba kunusuru ndoa

Mimi nimejiapiza nikigundua mke wangu amenicheat tutaachana hata kama tuna watoto 10 atafute mifano ya maez zangu ninaoachana nao saa hz

Then ndo aje na mimba aisee yan vivid example, tena ya mzungu mtt anazaliwa mweupe mpaka nguvu ya kukaza ni mwanao unakosa teh teh teh huyo sio mimi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mwanamke anataka kuikeep hiyo mimba tu. Sema kakutana na bwege mtozeni,kwa hiyo anaandaa exist strategy.
Unajua wadada wana kasumba sana, wengi wanapenda kuolewa na wazungu( muke ya mzungu), sasa huyo tayari ana mafantansy ya mtoto wa kizungu, hapo humwambii kitu.
Sometimes naonaga bora uende zako ukaoe kijijini, hawa wadada wenye exposure kidogo huwa ni majanga (sio wote lakini)
 
Huyu shost alipata scholarship kufanya Masters huko nchi za mbali. Huko alipata danga la ki Irish. Mume alijitahidi kwa ticket yake mwenyewe alimtembelea mkewe mara moja. Mke aliuweka mchepuko pembeni kwa muda.

Pale chuoni kuna jumuia ya wa-Tanzania, katika kunywa bia.walimfahamisha mbongo mwenzao habari ya mzungu. Bibie aliyaruka na kuwasuta waliomfahamisha mumewe. Mume ilibidi amuamini mkewe na kurudi bongo.

Shule imekwisha amerudi bongo, kumbe amerudi na mimba changa ya mzungu. Ameamua kumkalisha mumewe na kumweleza ukweli. Mume anamuuliza sasa atampelekaje clinic mtoto wa kizungu? Toa mimba maisha yaendelee.

Shost ana wakati mgumu. Huku watoto wakubwa wako sekondari.

Kwani kidume huku nyuma wakati mkewe akiwa masomoni hakuparamia beki tatu? Isije ikawa naye katia mimba huko! Hivyo mambo ni "kidali po". Jamaa ana akili, siyo zombi.
 
Huyu shost alipata scholarship kufanya Masters huko nchi za mbali. Huko alipata danga la ki Irish. Mume alijitahidi kwa ticket yake mwenyewe alimtembelea mkewe mara moja. Mke aliuweka mchepuko pembeni kwa muda.

Pale chuoni kuna jumuia ya wa-Tanzania, katika kunywa bia.walimfahamisha mbongo mwenzao habari ya mzungu. Bibie aliyaruka na kuwasuta waliomfahamisha mumewe. Mume ilibidi amuamini mkewe na kurudi bongo.

Shule imekwisha amerudi bongo, kumbe amerudi na mimba changa ya mzungu. Ameamua kumkalisha mumewe na kumweleza ukweli. Mume anamuuliza sasa atampelekaje clinic mtoto wa kizungu? Toa mimba maisha yaendelee.

Shost ana wakati mgumu. Huku watoto wakubwa wako sekondari.
Katika dunia hii wanaume tumebaki wachache.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mwanamke anataka kuikeep hiyo mimba tu. Sema kakutana na bwege mtozeni,kwa hiyo anaandaa exist strategy.
Unajua wadada wana kasumba sana, wengi wanapenda kuolewa na wazungu( muke ya mzungu), sasa huyo tayari ana mafantansy ya mtoto wa kizungu, hapo humwambii kitu.
Sometimes naonaga bora uende zako ukaoe kijijini, hawa wadada wenye exposure kidogo huwa ni majanga (sio wote lakini)
Mkuu kuua ni dhambi lakini kulea mtoto 1.5 kwenye familia pia ni issue nyingine. Fikiria wakwe zako utaweleza nini?
 
Kuua ni dhambi kwa mtu ambaye ana hofu ya Mungu. Huyo dada she is liberal, sio mfia dini, sidhani kama kwake abortion ni issue. Huyo kaamua kuleta mtoto wa kizungu tu.
Sema na jamaa naye bwege mtozeni sana.
 
Ningekuwa mimi tungeachana kwa amani tuu, namwachia kila kitu naanza moja! Wanawake sio wa kushindana nao. Uanaume ni ku-move on na kuendelea na maisha mengine mapya.
 
MWANAUME NI MWANAUME TUUU......huyo hapaswi kuwa mke tena....hakuna swala la kutoa maisha yaendelee......wanaume tulivyo lazima atafute chepuko la kudumu....mwanaume pumbafu sana huyo....kwanza mda wa kushauriana hilo uko wapi......
 
Huu uzi nitaufuatilia kwa miezi tisa, Mungu akinipa uhai, nijue kazaa au alishusha engine
 
Huyu shost alipata scholarship kufanya Masters huko nchi za mbali. Huko alipata danga la ki Irish. Mume alijitahidi kwa ticket yake mwenyewe alimtembelea mkewe mara moja. Mke aliuweka mchepuko pembeni kwa muda.

Pale chuoni kuna jumuia ya wa-Tanzania, katika kunywa bia.walimfahamisha mbongo mwenzao habari ya mzungu. Bibie aliyaruka na kuwasuta waliomfahamisha mumewe. Mume ilibidi amuamini mkewe na kurudi bongo.

Shule imekwisha amerudi bongo, kumbe amerudi na mimba changa ya mzungu. Ameamua kumkalisha mumewe na kumweleza ukweli. Mume anamuuliza sasa atampelekaje clinic mtoto wa kizungu? Toa mimba maisha yaendelee.

Shost ana wakati mgumu. Huku watoto wakubwa wako sekondari.
Kha...huyo mume kweli nae fala...sasa toa mimba ndoa iendelee ndio uamuzi gani huo? Hapo ni kumwambia bidada chukua chako nami nichukuwe changu basi.

Huku kugegedewa wake jamani ni hatari.
 
Na muirish kamuambia usitoe mimba yangu notaendelea kukuletea mafungu.....

Hapa bwana alikuwa Anapewa taarifa tu kwamba atazaliwa mtoto chotara....nae jina lake nitamuita jehnsen....

Hutaki acha
Mkuu unajua kumalizia....🤣🤣🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom