Ajabu sana. Eti toa mimba maisha yaendelee, simply like that. Ubwege ni hali ya kuzaliwa nayo. Mimi nafikiri baada ya kunipa hizo taarifa angezinduka ICU siku ya 8 mimba imetoka na talaka yake pembeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ikiwa hivyo hapo ni red card tu. Bora lawama kuliko fedhehaUsikute mama ndiye mwendeshaji wa nyumba kiuchumi.
Kwani wakati mzungu akiwashusha 'ndugu' zake huyo mdada alifikiri hicho kimiminika ni sanitizer?Ikiingia haipigi hodi na inaingia pale usipoitegemea.