Baada ya kuchepuka amepewa masharti atoe mimba kunusuru ndoa

Baada ya kuchepuka amepewa masharti atoe mimba kunusuru ndoa

Tatizo ataachika...utakubali kaka yako wa Tangamano azaliwe na wifiyo katoto ka kichina?
Na katoto kanalelewa Tangamano na lauding ya waja leo waondoka leo baba 😂
 
Ilikuwa na maydhui gani Stella?
Kama hivi tena kaka kauza vyake mpenzi aende kusomea udaktari Japan, si aliporudi karudi na mtoto na bwana wa kijapan...Siku anawapokea uwanja wa ndege ndio anajua anakwambia"nilitamani kulia kitaita lakini sikijui ikanibidi nilie kijaluo lugha ya baba na mama ye shel
 
Kama hivi tena kaka kauza vyake mpenzi aende kusomea udaktari Japan,si aliporudi karudi na mtoto na bwana wa kijapan...Sikh anawapokea uwanja wa ndege ndo anajua anakwambia"nilitamani kulia kitaita lakini sikijui ikanibidi nilie kijaluo lugha ya baba na mama ye shel
Ninaukumbuka 😂
 
Dada zetu walivyokua mapimbi wanaona ujanja kuwa na mtoto chotara wa kizungu bongo. Huyo jamaa ishakula kwake apige chini tu huyo mwanamke hakuna demu wa kibongo alieotea mimba kwa mzungu af akaitoa mbaya zaidi ukute yule mzungu anayo kibunda ya kutosha anajua mwanae atamlea tu akisharudi ulaya kwa baba yake afu unaeza kuta plan za huyo dem kabla hata hajapata scholaship ni kurudi na mimba ya mzungu bongo.***** wanawake ni hawafai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu shost alipata scholarship kufanya Masters huko nchi za mbali. Huko alipata danga la ki Irish. Mume alijitahidi kwa ticket yake mwenyewe alimtembelea mkewe mara moja. Mke aliuweka mchepuko pembeni kwa muda.

Pale chuoni kuna jumuia ya wa-Tanzania, katika kunywa bia.walimfahamisha mbongo mwenzao habari ya mzungu. Bibie aliyaruka na kuwasuta waliomfahamisha mumewe. Mume ilibidi amuamini mkewe na kurudi bongo.

Shule imekwisha amerudi bongo, kumbe amerudi na mimba changa ya mzungu. Ameamua kumkalisha mumewe na kumweleza ukweli. Mume anamuuliza sasa atampelekaje clinic mtoto wa kizungu? Toa mimba maisha yaendelee.

Shost ana wakati mgumu. Huku watoto wakubwa wako sekondari.

Hii inatokea sana kwa mademu wa kibongo wasomao nje..... Nilishuhudia mwenyewe kipindi nasoma nje ya nchi. Cha kushangaza si mademu tu kwani hata wanaume nao wako hivyo hivyo na bahati mbaya wanawachukua wale wazungu reject, yaani hata wanaume wao hawawaangalii mara mbili.
 
Hii inatokea sana kwa mademu wa kibongo wasomao nje.....Nilishuhudia mwenyewe kipindi nasoma nje ya nchi. Cha kushangaza si mademu tu kwani hata wanaume nao wako hivyo hivyo na bahati mbaya wanawachukua wale wazungu reject, yaani hata wanaume wao hawawaangalii mara mbili.
No huyu mzungu yuko vizuri na hajawahi kuoa maishani mwake. Mdada ninadhani alijua amehit menopause.
 
Huo upendo aisee Mimi sina, yaani mke wangu anijie na mimba tena ya mtu mwingine!

Kesi hizo kabisa tunatafutiana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom