Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,425
Huyu shost alipata scholarship kufanya Masters huko nchi za mbali. Huko alipata danga la ki Irish. Mume alijitahidi kwa ticket yake mwenyewe alimtembelea mkewe mara moja. Mke aliuweka mchepuko pembeni kwa muda.
Pale chuoni kuna jumuiya ya wa-Tanzania, katika kunywa bia walimfahamisha mbongo mwenzao habari ya mzungu. Bibie aliyaruka na kuwasuta waliomfahamisha mumewe. Mume ilibidi amuamini mkewe na kurudi bongo.
Shule imekwisha amerudi bongo, kumbe amerudi na mimba changa ya mzungu. Ameamua kumkalisha mumewe na kumweleza ukweli. Mume anamuuliza sasa atampelekaje clinic mtoto wa kizungu? Toa mimba maisha yaendelee.
Shost ana wakati mgumu. Huku watoto wakubwa wako sekondari.