Baada ya kuchepuka amepewa masharti atoe mimba kunusuru ndoa

Huyu shost alipata scholarship kufanya Masters huko nchi za mbali. Huko alipata danga la ki Irish. Mume alijitahidi kwa ticket yake mwenyewe alimtembelea mkewe mara moja. Mke aliuweka mchepuko pembeni kwa muda.

Pale chuoni kuna jumuia ya wa-Tanzania, katika kunywa bia.walimfahamisha mbongo mwenzao habari ya mzungu. Bibie aliyaruka na kuwasuta waliomfahamisha mumewe. Mume ilibidi amuamini mkewe na kurudi bongo.

Shule imekwisha amerudi bongo, kumbe amerudi na mimba changa ya mzungu. Ameamua kumkalisha mumewe na kumweleza ukweli. Mume anamuuliza sasa atampelekaje clinic mtoto wa kizungu? Toa mimba maisha yaendelee.

Shost ana wakati mgumu. Huku watoto wakubwa wako sekondari.
Ajabu sana. Eti toa mimba maisha yaendelee, simply like that. Ubwege ni hali ya kuzaliwa nayo. Mimi nafikiri baada ya kunipa hizo taarifa angezinduka ICU siku ya 8 mimba imetoka na talaka yake pembeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiingia haipigi hodi, na inaingia pale usipoitegemea.
Hakuna mimba ya bahati mbaya isipokuwa kwa kubakwa. Yaani mtu akubaliane kuvuliana kijichupi chake apanue miguu akandamizwe uboor tena kwa kusisitiza we kojolea tu humohumo (hapo anajijua kbs yupo ndoani) mimba ndiii half aje kusema ikiingia haipigi hodi!!!!!!!
 
Juzi kati nilimsindikiza wife kwenda kuanza clinic,ulipofika muda wa kupima na kusubiri majubu presure yangu ikikuwa zaidi ya mtu aliyekutana na simba.kikichonishangaza zaidi ni wife hana hata tone la kuogopa,huku mie nilikuwa nasikia hadi jasho la kwapani.
Asiyee siku ile nilikamatika maana kumkatalia kwenda clinic nao sikuweza angehisi kitu
Hahaha

Halafu ujue mkihamia clinic nyingine vipimo vinafanywa upya?

Tumehamia clinic ya Mnazi Mmoja nilipimwa hadi Kaswende.
 
Hakuna mimba ya bahati mbaya isipokuwa kwa kubakwa. Yaani mtu akubaliane kuvuliana kijichupi chake apanue miguu akandamizwe uboor tena kwa kusisitiza we kojolea tu humohumo (hapo anajijua kbs yupo ndoani) mimba ndiii half aje kusema ikiingia haipigi hodi!!!!!!!
Angefahamu kuwa ana mimba angeitolea huko Ulaya, sasa amefika bongo na mabadiliko ya hali ya hewa ameanza kutapika. Mume akajua ni uchovu wa safari. Kumbe kitu na box.
 
Kwamba pamoja na kusoma kwake hajui kuwa moja ya matokeo ya kut.ombwa ni kutungishwa mimba au sio!
 
Katika makosa makubwa ni kumsomesha mwanamke, huo ujinga sio wa kuufanya, hiyo hela ya kumsomesha angefanyia biashara
 
Huyu shost alipata scholarship kufanya Masters huko nchi za mbali. Huko alipata danga la ki Irish. Mume alijitahidi kwa ticket yake mwenyewe alimtembelea mkewe mara moja. Mke aliuweka mchepuko pembeni kwa muda.

Pale chuoni kuna jumuia ya wa-Tanzania, katika kunywa bia.walimfahamisha mbongo mwenzao habari ya mzungu. Bibie aliyaruka na kuwasuta waliomfahamisha mumewe. Mume ilibidi amuamini mkewe na kurudi bongo.

Shule imekwisha amerudi bongo, kumbe amerudi na mimba changa ya mzungu. Ameamua kumkalisha mumewe na kumweleza ukweli. Mume anamuuliza sasa atampelekaje clinic mtoto wa kizungu? Toa mimba maisha yaendelee.

Shost ana wakati mgumu. Huku watoto wakubwa wako sekondari.
Shosti yako naye kanogewa hadi kapata mimba!

Mwambie afuate ya mmewe tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom