Baada ya kuachana na matumizi ya pombe

Baada ya kuachana na matumizi ya pombe

Kama miezi mitatu hivi!
Wewe kama mimi ni miezi mitatu sasa, nilikuwa napiga maji kila mwisho wa wiki ingawa sio hadi kulewa chakari hapana nilikuwa nastuka kuchangamsha damu, sasa hivi nimeacha, nafikiri kwa upande wangu maji basi tena
 
Wewe ulikua unakunywa pombe gani mpaka ufanye vurugu?usielewane na mkeo?usifanye mambo ya maendeleo?inawezekana tatizo lilikua wewe mwenyewe kabla ya iyo pombe nna mashaka hata juisi ya Azam inaweza kukufanya ukarudia maisha yako ya vurugu maana kuna watu gambe daily ila hakuna mabalaa na ivi vi-baby walker havisumbui na mbilinge za mjini zinaenda kama kawa.
 
Safi sana, mimi nilikua nakunywa karibia kila siku ilimradi nisikie kiu!
 
Wewe ulikua unakunywa pombe gani mpaka ufanye vurugu?usielewane na mkeo?usifanye mambo ya maendeleo?inawezekana tatizo lilikua wewe mwenyewe kabla ya iyo pombe nna mashaka hata juisi ya Azam inaweza kukufanya ukarudia maisha yako ya vurugu maana kuna watu gambe daily ila hakuna mabalaa na ivi vi-baby walker havisumbui na mbilinge za mjini zinaenda kama kawa.

Mimi sikuwa mgomvi na sipigani kila siku, ila kama ukinikwaza nikiwa mzima uwa natumia busara ata kama nimeonewa ila nikiwa pombe lazima nikualibu! Nilikua natumia beer hasasa castle lager wakati mwingine konyagi! Na kukata 40000 kwa siku haikua tatizo kabisaa
 
Maendeleo uyapatayo kwenye pombe ni

Inakupa pesa kwa kuuza kwa watumiaji walio zaid ya miaka 18
Pia kwa mtumiaj n kiburudshooo

Sizungumzii muuzaji, nazungumzia wewe mtumiaji
 
Ashukuliwe Mwenyezi kwa kutupa pumzi mpaka muda huu! Napenda niwashirikishe katika furaha na maisha mapya tangu nilipotoka kwenye Team gambe!
1: Nawai kuludi kwangu.
2: Pesa ninayoipata naitumia vizuri na kufanya vitu vyenye kuleta maendeleo.
3: Swala la hang over na kuzimua nimeshalisahau.
4: Ugomvi na mavulugu yote kwisha.
5: Maelewano na mama watoto yamekua kwa kiasi kikubwa.
6: Kuchoka choka nikiwa kazini kumekwisha.
na mengineyo meengi!
Wito wangu kwenu; Pombe ni adui wa maendeleo, ukitaka kuishi kwa mafanikio huna budi kuiacha.

Ni kweli kabisa ,hayo uliyoyaongea ni sahihi .
Pombe kunywa ila kwa umakini saana ,kama unaweza kunywa kwa ratiba .. kwa week mara moja tena siku ambayo unajua kesho yake huna majukumu.
Jus one day for refreshment . !

AU

ACHA KABISA.
 
Ni vema kuacha kabisa maana bandu bandu humaliza gogo
 
Hongera sana. Umevuka mtihani mkubwa sana kwenye maisha yako. Mwenyezi Mungu akutie nguvu usirudi nyuma...
Nimeona hapo juu watu wakikuponda kuwa miezi mitatu sio mingi na uko vulnerable kurudia 'matapishi' Soma hii habari hapo chini. Mungu alipoamua kumnyanyua nabii Eliya, Watu wengi 'waliponda' na hata manabii wadogo wakamuomba msaidizi wa Elia waende maporini kumtafuta, maana huenda Mungu amemuacha na amedondokea huko. Elisha aliwakataza. Maana Mungu akikuinua hawezi akauangusha wala kukuacha urudi nyuma. Nakutakia ndoa yenye furaha na amani na utulivu...

New Living Translation
"Sir," they said, "just say the word and fifty of our strongest men will search the wilderness for your master. Perhaps the Spirit of the LORD has left him on some mountain or in some valley." "No," Elisha said, "don't send them."
2Kings 2:16.
 
utekelezaji ni mgumu kidogo hapo itabid jitihada za ziada zitumike looo lager achana nazo ndugu
 
Hongera sana...

Kilichobakia sasa ni kujifunza matumizi ya 'r' na 'l' tu

Pombe haikubaliki
 
Hongera sana. Umevuka mtihani mkubwa sana kwenye maisha yako. Mwenyezi Mungu akutie nguvu usirudi nyuma...
Nimeona hapo juu watu wakikuponda kuwa miezi mitatu sio mingi na uko vulnerable kurudia 'matapishi' Soma hii habari hapo chini. Mungu alipoamua kumnyanyua nabii Eliya, Watu wengi 'waliponda' na hata manabii wadogo wakamuomba msaidizi wa Elia waende maporini kumtafuta, maana huenda Mungu amemuacha na amedondokea huko. Elisha aliwakataza. Maana Mungu akikuinua hawezi akauangusha wala kukuacha urudi nyuma. Nakutakia ndoa yenye furaha na amani na utulivu...

New Living Translation
"Sir," they said, "just say the word and fifty of our strongest men will search the wilderness for your master. Perhaps the Spirit of the LORD has left him on some mountain or in some valley." "No," Elisha said, "don't send them."
2Kings 2:16.

Amina mkuu!
 
Back
Top Bottom