MpigfilimbiwaHamelin
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 652
- 169
Denna ar loe?40000 tu??? Ulikuwa haunywi ya kutosha aisee
Denna ar loe?40000 tu??? Ulikuwa haunywi ya kutosha aisee
Ashukuliwe Mwenyezi kwa kutupa pumzi mpaka muda huu! Napenda niwashirikishe katika furaha na maisha mapya tangu nilipotoka kwenye Team gambe!
1: Nawai kuludi kwangu.
2: Pesa ninayoipata naitumia vizuri na kufanya vitu vyenye kuleta maendeleo.
3: Swala la hang over na kuzimua nimeshalisahau.
4: Ugomvi na mavulugu yote kwisha.
5: Maelewano na mama watoto yamekua kwa kiasi kikubwa.
6: Kuchoka choka nikiwa kazini kumekwisha.
na mengineyo meengi!
Wito wangu kwenu; Pombe ni adui wa maendeleo, ukitaka kuishi kwa mafanikio huna budi kuiacha.
muulize Madame B nilichompa mpaka kaniganda
miss chagga mwenyewe haoni wivu wakati anajua wapo wawili
Sijawai kushindwa kutimiza majukumu!
Wewe ulikuwa unazinywa vibaya mkuu,mpaka zinakuletea matatizo yote hayo,mbona mie nazinywa kistaarabu na sina hayo matatizo au ulikuwa unakuwa za kienyeji?Ashukuliwe Mwenyezi kwa kutupa pumzi mpaka muda huu! Napenda niwashirikishe katika furaha na maisha mapya tangu nilipotoka kwenye Team gambe!
1: Nawai kuludi kwangu.
2: Pesa ninayoipata naitumia vizuri na kufanya vitu vyenye kuleta maendeleo.
3: Swala la hang over na kuzimua nimeshalisahau.
4: Ugomvi na mavulugu yote kwisha.
5: Maelewano na mama watoto yamekua kwa kiasi kikubwa.
6: Kuchoka choka nikiwa kazini kumekwisha.
na mengineyo meengi!
Wito wangu kwenu; Pombe ni adui wa maendeleo, ukitaka kuishi kwa mafanikio huna budi kuiacha.
ashukuliwe mwenyezi kwa kutupa pumzi mpaka muda huu! Napenda niwashirikishe katika furaha na maisha mapya tangu nilipotoka kwenye team gambe!
1: Nawai kuludi kwangu.
2: Pesa ninayoipata naitumia vizuri na kufanya vitu vyenye kuleta maendeleo.
3: Swala la hang over na kuzimua nimeshalisahau.
4: Ugomvi na mavulugu yote kwisha.
5: Maelewano na mama watoto yamekua kwa kiasi kikubwa.
6: Kuchoka choka nikiwa kazini kumekwisha.
Na mengineyo meengi!
Wito wangu kwenu; pombe ni adui wa maendeleo, ukitaka kuishi kwa mafanikio huna budi kuiacha.
Nakupongeza sana kwa kujitambua na kutambua hilo.
Unywaji wa pombe ni hdmbai kwa Ukristo na Uislam.
Na ndio maana mapadri ukiwauliza suala la Pombe wanakujibu moja kwa moja.
Mungu akusaidie kwa hilo,pia jitahidi sana kuwa mtu wa Ibada ili mungu akusamehe uliyoyafanya,wapo watakaokubeza maana wao Pombe ndi maisha yao.
Kufanikiwa na kutofanikiwa ni majaaliwa ya Mungu,ila hakuna amabe hajui kama Pombe imewapati wengi sana Gonjwa la Ukimwi kwa ngono mbovu,na wengine maradhi tele ikiwemo Sukari,Ini,figo nk.
Walevi sikuzote huwa wanamajonzi sana kuondokewa na Member mwenzao na hiyo ndio kazi ya Ibilisi.
Ubarikiwe
Hahaaa.... !!
When we drink we get drunk,
when we get drunk we go strait to bed and sleep,
when we get asleep we donot commit sins,
when we dont commit sins we go to HEAVEN!
So, lets Drink and go to Heaven
Bar kuna mengi wewe unadhani ni kunywa tu,kuna zile big boots, si mchezo
Hahahahahaa next time ntakuja kuelezea madhara ya viloba
Teh teh teh!
At least wewe umenishawishi!
Karibu Kinana bariiiid!!