Baada ya kuachana na matumizi ya pombe

Baada ya kuachana na matumizi ya pombe

Ni maamuzi tu!

Hakika ni maamuzi tu kweli leo nina mwezi mmoja tangu nilipoacha pombe...nimekuwa na hela nyingi za ziada nimeweza kununua kiwanja na kuanza ujenzi. Kwa maana kwa siku bar nilikuwa natumia fedha nyingi hata kushindwa kuwaza maendeleo mpe mruke ndio yalikuwa masifa yangu. Yaani najuta kama ningejua mapema leo ningekuwa mbali zaidi ila kila jambo na wakati wake namshukuru Mungu kwa neema ya kujitambua. Mungu awabariki wote kwa ukombozi dhidi shetani pombe. Hakika sintarudi nyuma. wapendwa niombeeni na neema ya wokovu pia.
 
Hongera sana! wasikukatishe tamaa hao! mimi mwenyewe ifikapo 5.10.nitakuwa nimetimiza mwaka mmoja bila kunywa pombe! jipe moyo utashinda tu!
 
Nakupa hongera sana, ukijalibu kumnunulia mtu pombe nisawa na kumuangamiza!

Sio Kumwangamiza Tu Bali Unakuwa Umeshirki Kwenye Hiyo Dhambi Ya Ulevi,ni Sawa Na Mtu Anaekwambia Nataka Kwenda Kuzini Halafu We Ukamnunulia Ndom Ili Akazin Vizur, Na Ktk Iman Wewe Uliyekunywa Na Uliyemnunulia Mnahesabiwa Dhambi,.
 
Ni maamuzi tu!

Kama nilivyo sema mwanzo wewe hukuwa mnywaji bali mlevi tena pombe zilikua zimekukataa wewe ukawa unalazimisha. Endelea na azam cola na chai lakini ulevi utakao fuata utakua mbaya zaidi ya pombe. Kila mara mkeo atakua anafukuza ma-house girl!
 
Nawe ondoa hizo imani za kuletewa na wazungu!
 
Hakika ni maamuzi tu kweli leo nina mwezi mmoja tangu nilipoacha pombe...nimekuwa na hela nyingi za ziada nimeweza kununua kiwanja na kuanza ujenzi. Kwa maana kwa siku bar nilikuwa natumia fedha nyingi hata kushindwa kuwaza maendeleo mpe mruke ndio yalikuwa masifa yangu. Yaani najuta kama ningejua mapema leo ningekuwa mbali zaidi ila kila jambo na wakati wake namshukuru Mungu kwa neema ya kujitambua. Mungu awabariki wote kwa ukombozi dhidi shetani pombe. Hakika sintarudi nyuma. wapendwa niombeeni na neema ya wokovu pia.

Tuko pamoja kikubwa ni kuomba Mungu atuepushe na adui pombe!
 
Hongera sana! wasikukatishe tamaa hao! mimi mwenyewe ifikapo 5.10.nitakuwa nimetimiza mwaka mmoja bila kunywa pombe! jipe moyo utashinda tu!

Nashukulu sana!
 
Sio Kumwangamiza Tu Bali Unakuwa Umeshirki Kwenye Hiyo Dhambi Ya Ulevi,ni Sawa Na Mtu Anaekwambia Nataka Kwenda Kuzini Halafu We Ukamnunulia Ndom Ili Akazin Vizur, Na Ktk Iman Wewe Uliyekunywa Na Uliyemnunulia Mnahesabiwa Dhambi,.

Kweli kabisa!
 
Kama nilivyo sema mwanzo wewe hukuwa mnywaji bali mlevi tena pombe zilikua zimekukataa wewe ukawa unalazimisha. Endelea na azam cola na chai lakini ulevi utakao fuata utakua mbaya zaidi ya pombe. Kila mara mkeo atakua anafukuza ma-house girl!

Ni haki yako kuchangia na kutoa mtazamo wako ila kikubwa ninachokuomba ndugu yangu epuka pombe ni adui wa maisha yako!
 
ofisini ninae kunywa pombe pekeyangu na nina maendeleo kuliko hao ambao hawanywi. Hadi wenyewe wanashangaa maendeleo ni mipango sio suala la kutokunywa pombe.
ingekuwa hivyo wale wazee wa uswahilini kariakoo wanaoshinda kwenye majamvi wangekuwa mabilionea
Kama umeijiriwa usijisifie una maendeleo maana mtu pekee anayekuita bosi ni house girl nyumbani kwako:madgrin::madgrin:
 
Ashukuliwe Mwenyezi kwa kutupa pumzi mpaka muda huu! Napenda niwashirikishe katika furaha na maisha mapya tangu nilipotoka kwenye Team gambe!
1: Nawai kuludi kwangu.
2: Pesa ninayoipata naitumia vizuri na kufanya vitu vyenye kuleta maendeleo.
3: Swala la hang over na kuzimua nimeshalisahau.
4: Ugomvi na mavulugu yote kwisha.
5: Maelewano na mama watoto yamekua kwa kiasi kikubwa.
6: Kuchoka choka nikiwa kazini kumekwisha.
na mengineyo meengi!
Wito wangu kwenu; Pombe ni adui wa maendeleo, ukitaka kuishi kwa mafanikio huna budi kuiacha.

Habari zina wenyewe hizi.
 
Mimi sikuwa mgomvi na sipigani kila siku, ila kama ukinikwaza nikiwa mzima uwa natumia busara ata kama nimeonewa ila nikiwa pombe lazima nikualibu! Nilikua natumia beer hasasa castle lager wakati mwingine konyagi! Na kukata 40000 kwa siku haikua tatizo kabisaa

40000 tu??? Ulikuwa haunywi ya kutosha aisee
 
Ashukuliwe Mwenyezi kwa kutupa pumzi mpaka muda huu! Napenda niwashirikishe katika furaha na maisha mapya tangu nilipotoka kwenye Team gambe!
1: Nawai kuludi kwangu.
2: Pesa ninayoipata naitumia vizuri na kufanya vitu vyenye kuleta maendeleo.
3: Swala la hang over na kuzimua nimeshalisahau.
4: Ugomvi na mavulugu yote kwisha.
5: Maelewano na mama watoto yamekua kwa kiasi kikubwa.
6: Kuchoka choka nikiwa kazini kumekwisha.
na mengineyo meengi!
Wito wangu kwenu; Pombe ni adui wa maendeleo, ukitaka kuishi kwa mafanikio huna budi kuiacha.

Umeacha kabisaaaa???? Au umepumzika au kuna la ziada ambalo hujaanika jukwaan?
Mbinu ulizo tumia na mengineyoooo!
 
Mbinu nilizotumia ni;
1: Kujiuliza ni faida gani naipata kwenye pombe???
2: Kujiuliza ni hasara kiasi gani nimepata kupitia pombe???
3: Alafu nikachukua maamuzi.
 
Ashukuliwe Mwenyezi kwa kutupa pumzi mpaka muda huu! Napenda niwashirikishe katika furaha na maisha mapya tangu nilipotoka kwenye Team gambe!
1: Nawai kuludi kwangu.
2: Pesa ninayoipata naitumia vizuri na kufanya vitu vyenye kuleta maendeleo.
3: Swala la hang over na kuzimua nimeshalisahau.
4: Ugomvi na mavulugu yote kwisha.
5: Maelewano na mama watoto yamekua kwa kiasi kikubwa.
6: Kuchoka choka nikiwa kazini kumekwisha.
na mengineyo meengi!
Wito wangu kwenu; Pombe ni adui wa maendeleo, ukitaka kuishi kwa mafanikio huna budi kuiacha.
Sawa lakini kesho jifunze kuandika vizuri, pia hujatueleza hasara za kuacha/KUTOKUNYWA pombe, zipo kibao bila shaka, zaidi hujatofautisha kunywa pombe na ulevi.....wewe inaonekana ulikuwa mlevi - no speed governor! Pombe hukusaidia kwa mengi unapoitumia vizuri. But too much of anything is harmful!!
 
Back
Top Bottom