Kila siku lazima nipate maji ya kunywa safi si chini ya lita 5 mkuu hiyo ndiyo siri na vitunguu swaumu natafuna sana
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
sasa naona unataka tuhame kwenye pombe tuhamie kwenye mchepuko hizi ni mada mbili tofauti jamani usichanganye mambo na utamu wake ni tofauti na madhara yake ni tofauti na uzuri wake ni tofauti jamnai ..... mweeee tukutane pale nikupe ofa ya kisichana (konyagi)
Hapo namba 4, kumbe ulikuwa unajijua wakati wa kupigana na watu eeeee? Au zikishakuisha kichwani ndio unahadithiwa kuwa jana ulizikunja?
Enzi zile ukinambia kischana pembeni unaweka kabia ka kilimanjaro kwa kuchanganyia au soda ila kwa sasa nakushauli iyo garama ya kischana ni bola utafute matunda uandae juisi kwaajili ya kujenga afya yako!
Mnywaji wa konyagi na gongo hawana tofauti maana vyote vinaalibu maini
Huwezi kuacha pombe moja kwa moja labda iwe ulipata tatizo kubwa la aibu ndipo unaweza kuacha.
lakini kwa kuamua ni kwamba umepumzika tu, baada ya muda mambo ni yale yale.
Au huenda ulikuwa ni muonjaji tu siyo mnywaji wa pombe
Ashukuliwe Mwenyezi kwa
kutupa pumzi mpaka muda huu! Napenda niwashirikishe katika furaha na
maisha mapya tangu nilipotoka kwenye Team gambe!
1: Nawai kuludi kwangu.
2: Pesa ninayoipata naitumia vizuri na kufanya vitu vyenye kuleta
maendeleo.
3: Swala la hang over na kuzimua nimeshalisahau.
4: Ugomvi na mavulugu yote kwisha.
5: Maelewano na mama watoto yamekua kwa kiasi kikubwa.
6: Kuchoka choka nikiwa kazini kumekwisha.
na mengineyo meengi!
Wito wangu kwenu; Pombe ni adui wa maendeleo, ukitaka kuishi kwa
mafanikio huna budi kuiacha.
Itaenda kwenye shuguli za kimaendeleo