Baada ya kikao na IGP Mwema, Dr. Slaa Alonga

Asema baada ya mazungumzo na IGP wamekubali kusitisha mikutano yao ya M4C kwa muda wa siku 3, ili kupisha zoezi la sensa kukamilika kutokana na muda ulioongezwa,

Mkuu jipange utupe taarifa kamili, mimi nilikuwa na makamnda muda wa jioni ya leo kwenye hotel ya M.R walipofikia hapa Iringa. Walisema bado mazungumzo yanaendelea.
 
Inatakiwa taarifa ya kina kutoka kwa viongozi wa CDM kuhusu nini kilitokea jana. Tuelezwe hatua za kuchukua. Kwanza ni aibu viongozi wa CDM kufanya mkutano leo na IGP,wakikaa na mtuhumiwa mkuu Kamuhanda! Hii ni fedhea kubwa
 
Ivyo tu... !!
Baada ya siku tatu tutakua tumeshasahau haya maumivu na maisha yataendelea kama kawaida...

.."Liwalo na Liwe"..


TUZIDISHE MAOMBI NA SALA.
 
Kwaiyo maisha ya jamaa yamepotea hivi hivi tu, alikua wapi kusubiri? Je anaona faida ya lolote na liwe? Kwakweli nimemzarau kabisa huyu mzee.

mzee gani umemdharau?unaouchunguzi na tathimini yakilichijili?au unaropoka kukidhi ujinga kutumwa?
 
Kwaiyo maisha ya jamaa yamepotea hivi hivi tu, alikua wapi kusubiri? Je anaona faida ya lolote na liwe? Kwakweli nimemzarau kabisa huyu mzee.
Izarau serikali yako ya CCM na Polisi waliofanya mauaji hayo na sio Dr.Slaa
 
sasa wangesitisha mikutano tangu mwanzo yote haya yangetoka wapi?
Polisi walikosea lakini na cdm nao walikosea kwa kukaidi amri ya polisi.
Hii nchi ni yetu sote, ubabe hauto tunufaisha bali utaleta madhara zaidi.

Umenena vyema.. Nchi hii ni ya kwetu sote.. Waruhuciwe wanaotaka kuandamana kama katiba inavyoruhusu.. Wakusanyike kwenye mikutano yao kama katiba inavyoruhusu.. Unapokuja na vicingizio uchwara mara sensa.. Mara Alshabab ni kujaribu kuifanya nchi hii ni ya kwenu peke yenu.. Mbona walijazana kwenye mafiesta huko na hawakuambiwa masuala ya sensa wala nini..! Na kama unadhani CDM ndo wamesababisha kifo utakuwa na akili za kuku.. Songea Polisi waliua raia.. Kulikuwa na CDM..? Nyamongo wanaua kila ciku.. Kuna CDM..? Zomba & polisi wenzie waliwaua wafanyabiashara.. Walikuwa CDM wale..? Iko ciku yenu.. Kama c duniani baci hata ahera..

Sent from nyahoro..
 
Slaa kusitisha m4c kwa siku 3 ili kupisha sensa ni upuuzi,wakati mnaendelea na mikutano ya m4c haukuwa na taarifa za sensa!I
(KIWA TU HOJA NI SENSA)
 
Huu ni ujinga wa hali ya juu unaoendelea hapo, napata shida kuamini ya kuwa Dr Slaa amekubalina nao. Polisi ndio waliomwua huyu mwandishi, sasa wao watafanye uchunguzi tena? Inatakiwa tume huru ifanye uchunguzi...I am more than dissapointed with Dr. Slaa's decision to bail these hooligans "police."
 
sasa wangesitisha mikutano tangu mwanzo yote haya yangetoka wapi?
Polisi walikosea lakini na cdm nao walikosea kwa kukaidi amri ya polisi.
Hii nchi ni yetu sote, ubabe hauto tunufaisha bali utaleta madhara zaidi.

acha ujinga. nyie magamba mfanye mkutano lkn wengine ndo wasubiri sensa iishe. Zanzibar bilali alifanya nn jana. au ulikuwa unampa ndogo ndo maana hukuona.
 
Mbona mlima tv wametoa riport wakisema baada ya kikao IGP ame sema cdm waendelee na mikutano kama kawaida?
 
Mikutano is the secondary issue here. We want to see those police who killed this innocent Journalist facing the full wrath of the law. Infact, let me put it bluntly, they ought to be prosecuted for murder. We are sick and tired of police brutality!
 
mbona mna presha kama mmebanwa na mlango, Mwacheni Dr. wa Ukweli Dr. Slaa, achambue na kujibu kila hoja iliyotolewa na policeccm na ccm, ndipo atoe taarifa kamili. Baada ya kutoa taarifa kamili ndipo wengine tuchangie. Namwamini Dr. sio mtu wa kukurupuka kama akina ccm. mwacheni akamilishe zoezi la kuchambua taarifa zote ndipo mtajulishwa

jambo jingine kuhusu Policeccm Dr. slaa alishawaambia siku nyingi kuwa hana imani nao, hivyo, hana haja ya kurudia kutoa taarifa. najua atakachokisema ni kuhusiana na tukio na la tume atatoa taarifa kwa ufupi
viva Dr. Slaa, bado tuna imani nawe na viva cdm, viva wapenzi, wanachama na mashabiki wa cdm
 
Tujiandae kupata Tukio Jingine ambalo litatengenezwa hivi sasa ili kulisahulisha hili tukio la Mwaandishi wa Habari. Kumbuka matukio yanavyotengenezwa toka kwenye EPA hadi Babu wa Loliondo, endeleza yaliyotengenezwa...................
 
Yani kilichompeleka Wema iringa ni kujadili usitishaji wa mikutano ya M4C!!? mikutano inazuiaje sensa? Fiesta haiathiri sensa? maza fanta Mwema and the whole police force
 
Back
Top Bottom