Baada ya kikao na IGP Mwema, Dr. Slaa Alonga

Mie haya niliyajua tu baada yakusema kuwa kuna kikao kati yao. Sasa kwa nn asinge sitisha hivyo tangia mwanzo nakuepusha kifo cha mwandishi? Slaa ni janga la kitaifa

Uliyajua, we sangoma nini? au wewe ndo unawaambia ccm waue ndo watafanikiwa kuretain chama chao madarakani.

Hili la kuendelea na maandamano na mikutano kwa sasa si busara kwani kuna kilio, angalau hata siku3 za kuhani, naamini umeelewa na wengine pia wameelewa. Asante
 
Back
Top Bottom