Baada ya kazi.....

Hiyo picha ni ya kudhalilisha masista wetu ambao wamekaa kistarabu halafu mtu anawaweka. Kwanini hakuweka watu wengine?
Ndugu yangu, Akili za hawa watu sijui zikoje, Yaani wao na RC tu,nadhani wanashindwa kufanya mambo yao kwaajili ya kulifuatilia Kanisa Katoliki, badala ya kufanya yao. Hopeless kabisa hawa Viumbe.
 
Ndugu yangu, Akili za hawa watu sijui zikoje, Yaani wao na RC tu,nadhani wanashindwa kufanya mambo yao kwaajili ya kulifuatilia Kanisa Katoliki, badala ya kufanya yao. Hopeless kabisa hawa Viumbe.
We become more blessed na ndo tunazidi kupanda mbegu. Huitaji matarumbeta na mizindaro ili wakujue wewe ni mkristo. Ukristo kwenye jumuiya na matendo kwa jirani. Kelele za kila jumapili ni tosha kuonyesha upungufu wa kujiamini.
 
Amri ya ngapi inakataza pombe? Katika Ahadi zao kuna inayowakataza pombe? wewe donlucchese uliwakuta kwenye guest? Yawezekana hii ni dhifa iliyoandaliwa na kanisa au jimbo hata jumuiya. Wakatoliki siyo wa Islam au walokole.
Mapendo daima, kristu?......
Uko sahihi mkuu na mimi sijaongea chochote nimesema tu baada ya kazi burudani. Mbona paroko wetu akijaga kusalisha kwenye jumuiya anagonga ugimbi fresh tu
 
Mapendo daima, kristu?......
Uko sahihi mkuu na mimi sijaongea chochote nimesema tu baada ya kazi burudani. Mbona paroko wetu akijaga kusalisha kwenye jumuiya anagonga ugimbi fresh tu
Ungeongeza nyama ningekuelewa. Mimi ni mkatoliki sana na naelewa miiko hivyo nilikuwa nimekwazika. Naomba uongeze nyama ili watu wakuelewe. Nashukuru hukuweka sura za masista.
 
Kama hao masista kwenda kwao hapo bar na kunywa pombe ni kosa au hairuhusiwi kwa maadili ya kazi/dini yao basi wamejidhalilisha wao wenyewe na hakuna aliyewadhalilisha ila kama sio kosa kwao kukaa hapo na kunywa pombe basi sioni ubaya wowote wa hiyo picha.
Dini yetu haizuii kunywa. Tunaambiwa kila kitu fanya kwa kiasi. Hata kunywa maji kupitiliza utatapika au kula sana utavimbiwa. Sisi tunakomnika na divai ambayo ni kileo ingekuwa hairuhusiwi wangekuwa wanatupa maji au juice.
 
Sasa kama dini yao haikatazi,tatizo nini kwenye hiyo picha?
 
Tutakutana siku tukianza kuulizwa waliokata wenzao mapanga, kuchoma nyumba zao na wale waliojenga hospitali na mashule na kuelimisha watoto wa maskini wanyooshe mikono.
Kina nani hao waliokata wenzao mapanga na kuchoma nyumba zao? na kina nani ambao hawajajenga mashule na mahospitali? hiyo picha kwani imepigwa wapi?
 
Ungeongeza nyama ningekuelewa. Mimi ni mkatoliki sana na naelewa miiko hivyo nilikuwa nimekwazika. Naomba uongeze nyama ili watu wakuelewe. Nashukuru hukuweka sura za masista.
Mimi pia, sakramenti ya kipaimara nilipewa na muashama kadinali polycap pengo akiwa na monsinyori mbiku katika parokia ya Mt. Maxmilian Kolbe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom