Baada ya kazi.....

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,031
21,499
Ni burudani
CYMERA_20181215_232841.jpeg
 
Amri ya ngapi inakataza pombe? Katika Ahadi zao kuna inayowakataza pombe? wewe donlucchese uliwakuta kwenye guest? Yawezekana hii ni dhifa iliyoandaliwa na kanisa au jimbo hata jumuiya. Wakatoliki siyo wa Islam au walokole.
 
Kudhalilisha kivipi sasa wakati pombe kwenu ni kama juisi tu? Ni sawa unaweka mkristo anakula kitimoto useme kadhalilishwa
Tumuulize aliyeweka picha alikuwa na maana gani? Angeiweka kwenye mada ya wanywaji na walevi ambayo nami ni member aliianzisha mdogo wangu mshana jr. na mrangi ni kama katibu hahahaha. Walininyima cheo sijui kwa vigezo vipi???
 
Mbona picha huwa zinawekwa hum za watu wanaokunywa pombe na machupa yao mezani
Kama hao masista kwenda kwao hapo bar na kunywa pombe ni kosa au hairuhusiwi kwa maadili ya kazi/dini yao basi wamejidhalilisha wao wenyewe na hakuna aliyewadhalilisha ila kama sio kosa kwao kukaa hapo na kunywa pombe basi sioni ubaya wowote wa hiyo picha.
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom