Baada ya kazi...... burudiko

Yani story zingine bana... haya mnunulie na mama sukari sio ujisisteduishe humu na story za kupata replies nyingi tu.

Life is not equal to everyone boy, what's necessary to you its unnecessary to the other.

If sugar is one of the necessity of your mom then don't conclude that my mom needs are same as yours.

Gat that boy.... next time usidandie treni kwa mbele utagongwa halafu kesi ni yako na utatakiwa kulilipa treni japo utaumia wewe.

Kasie.
 
Reactions: irk
Naona wknd unabando la chuo binti unaenjoy... haya nakuongezea replies basi.
 

"If sugar is one of the necessity of your mo........."...
Hakuna grammar ya namna hii binti ungeandika kiswahili ungeeleweka vizuri kuliko ulichoandika...
 
Faida ya kuzaliwa na moyo wa upokeaji....

Kasie.
Hivi usingekuwa Na k ungepewa hiyo zawadi? Subutu zaidi ungelala segerea kwa kugonga gari ya kibopa. Kuna jamaa WA BOT yalimkuta (aligongwa lakini akageuziwa Kibao kwa vile hakutaka kutoa chochote tena Na Bajaj ya kibopa). Shukuru mungu umezaliwa Na k hizo ndizo carrot za k ingawa stick zake mp Na Kuzaa
 
Kuna maswali kadhaa ambayo ningeomba unipe majibu yake Kasie.
First of all today is my birthday, Happy birthday dear mimi.... Happy Birthday Kasie. ....
Kwanza hongera kwa kuzaliwa, nitakuletea kichupa cha kunyonyea.
Wiki iliyopita nilikuwa Dar sasa kwenye mishe mishe zangu bana za hapa na pale kama ujuavyo pilikapilika za jiji la Dar, foleni bumper to bumper.
Umesema Wiki iliyopita ulikuwa Dar, hii inamaanisha wewe siyo mwenyeji wa Dar lakini mpaka unaleta huu uzi bado huko dar kwa nini umetumia haya maneno? "nilikuwa Dar"
Leo mchana napigiwa simu na yule mkaka akajitambulisha kisha akaniambia naomba uje maeneo yaleyale tulipopata ajali nataka tuyamalize.
Kumbe bado huko Dar?
Hii inaonyesha kuwa wewe siyo mfuatiliaji mzuri wa vitu vyako, inakuwaje usigundue kuwa huna leseni yako.
Tukala tukaongea meengi na sasa ameshaondoka kurudi kwake (Deo.... his name is Deo).
Hapa kuna kitu kingine muhimu hukukiandika lakini sisi wa 40+ tunajua.

Mwisho nikupongeze tena kwa siku yako ya kuzaliwa... happy birthday Kasinde.
 
Reactions: irk
Kwa hiyo kwa kifupi ni kwamba papuchi haikusalimika lazima tu iligegedwa
 
mhmhmhmmhmhmh huyo deo asije akawa mnigeria au mkongo wa wolper
shogaaa matapeli mjini wengi
 
Are you feeling jealous for Deo..... what a ride. ....

I surely enjoyed the ride... It was fantastic!!

Thanks for birthday wishes. My regards to Silas.

Kasie.

Apple lilibaki salama kweli? Nauliza tu
 

Eeeh haya.
 
Reactions: BAK
mhmhmhmmhmhmh huyo deo asije akawa mnigeria au mkongo wa wolper
shogaaa matapeli mjini wengi

Waaalaaah Deo ni mmasai. .. mrefu huyo ila si sana halafu handsome boy japo above 40.
Baasi tu Kasie hana mzuka wa kuolewa ila ana kismati cha kukutana na watu wenye hela na handsome
 
HAPPY BIRTHDAY KASINDE...

kan't wait siku nikugonge na ka vitz kangu!!!!

Thanks for the birthday wishes.... msuba tafadhali wa kupaisha nanga looh

Mi nataka unigonge na pantoni ili nikizama baharini uniokoe. .... ole wako uniache natapatapa kwenye maji...😛
 
Sasa mbona hukumpa vitu?
Jamaa kajitahidi sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…