Baada ya kazi...... burudiko

Baada ya kazi...... burudiko

kuna watu wana hela za mchezo jamani?
ivi mtu hakujui humjui imetokea bahati mbaya kuonana tu kwa siku moja.
na gari anakupa kama zawadi we mdada una bahati isiyo ya kawaida kama ni kweli?
na hali hi ya utawala wa kibabe kumbe bado kuna wenye jeuri ya pesa.
 
Kassie naomba kuona picha yako kwanza,au hata unambie tu unafanana na celebrity yupi local au international... No offence intended madam

Hahahahahaa

Umenifanya nitabasamu kwanguvu looh,

Nyie wanaume huwa mnasemaga kumuelewa mwanamke ni ngumu sana au kujua hasa mwanamke anataka nini.

Hapo hapo nshakutana na mwanaume ambaye akiona ke mzuri sanaa yaani yuko amazing kila kitu huishia kusema aah huyu demu wa show fupi tuu sio wa long relationship. Hapo hapo akiona ke wa kawaida sana kuanzia sura hadi mwili utasikia aah huyu ntampeleka wapi hata kutoka nae na washkaji sitaweza....
Na wakati mwingine mwanaume huyo huyo anakwambia issue ni kishimo tuu awe mnene mwembamba mrefu mfupi mweupe mweusi kama ana kishimo basi namwaga pwaaaah. .....

Sasa hapo asiyeeleweka nani..... mwanaume au mwanamke. Na ndo maana waschana wa siku hizi wanaishi tabia za kiume kama kuwa na wanaume wengi na kuwapanga kama sahani kabatini bila woga, kulewa, kushindwa bar, kupiga ma deal makubwa ya hela..... na hamtakaa muwaelewe wanawake hata siku moja labda Yesu arudi.

Back to the topic, Kasie is not a celebrity rather an old woman living single and like to mingle.
My pic.... just look at my avatar... zoom it.....
Look at the smile look carefully. ....
That's Kasie, I not only look like that avatar neither resemble it....but that avatar is purely Kasie and that's me.

Kasie.
 
ndio mana hata sitaki kuoa, mana nafikiria kuna majaribu akiyapata mkeo kuyaruka ni vigumu sanaa!! "kama kupata bikra kwa changudoa.
 
Hahahahahaa

Umenifanya nitabasamu kwanguvu looh,

Nyie wanaume huwa mnasemaga kumuelewa mwanamke ni ngumu sana au kujua hasa mwanamke anataka nini.

Hapo hapo nshakutana na mwanaume ambaye akiona ke mzuri sanaa yaani yuko amazing kila kitu huishia kusema aah huyu demu wa show fupi tuu sio wa long relationship. Hapo hapo akiona ke wa kawaida sana kuanzia sura hadi mwili utasikia aah huyu ntampeleka wapi hata kutoka nae na washkaji sitaweza....
Na wakati mwingine mwanaume huyo huyo anakwambia issue ni kishimo tuu awe mnene mwembamba mrefu mfupi mweupe mweusi kama ana kishimo basi namwaga pwaaaah. .....

Sasa hapo asiyeeleweka nani..... mwanaume au mwanamke. Na ndo maana waschana wa siku hizi wanaishi tabia za kiume kama kuwa na wanaume wengi na kuwapanga kama sahani kabatini bila woga, kulewa, kushindwa bar, kupiga ma deal makubwa ya hela..... na hamtakaa muwaelewe wanawake hata siku moja labda Yesu arudi.

Back to the topic, Kasie is not a celebrity rather an old woman living single and like to mingle.
My pic.... just look at my avatar... zoom it.....
Look at the smile look carefully. ....
That Kasie I not only look like that avatar neither resemble it.... that's me.

Kasie.
Hahaha You know what Kasie, you look amazing, great personality, mature too. Great to have you in the forum. It is a place to learn naamini nawewe unatufundisha mengi. Trully hata ulichokisema ni picha yako halisi mkuu.

Upo sahihi kuhusu confusion iliyopo kwa wanaume na mpaka wameambukiza innocent women, na mpaka wanawake wamewapiku hayo ma strange behaviour.
Ila mm naamini wanaume bado wanaile sense to dominate, (mfumo dume)....asa mwanamke mzuri sana ni challenge, ni wanaume wachache wanaweza kuwa na full confidence kwa pretty/ au independent strong women, wengi kujiamini ni zero....matokeo yake ni kuwa abusive kutafuta dominance. Udhaifu huo umepelekea most men akiona dem mkali anakua anataka kuonja tu asepe...kukimbia challenges. ( ujue threat kubwa ke akikwambia wenzio wanantafuta kwa hali na mali na nnawakatalia, wewe jidai tu...hhahhaha!)

Ila pamoja na hizi drama zote I just think wapo me na ke ambao huwa wakikutana hata first time wote hujua kwamba this is the one, I just wish watu hawa wawe open, honest na ku work out towards maisha serious ya pamoja-ndoa
 
Hongera ila angalia asikubebeshe unga
kuna watu wana hela za mchezo jamani?
ivi mtu hakujui humjui imetokea bahati mbaya kuonana tu kwa siku moja.
na gari anakupa kama zawadi we mdada una bahati isiyo ya kawaida kama ni kweli?
na hali hi ya utawala wa kibabe kumbe bado kuna wenye jeuri ya pesa.

Hahahaaa utashangazwa na mengi ya walimwengu...... kutoa ni moyo usambe utajiri. .....

Ndo hivyo... am enjoying the new ride kwa starehe zangu.
 
ndio mana hata sitaki kuoa, mana nafikiria kuna majaribu akiyapata mkeo kuyaruka ni vigumu sanaa!! "kama kupata bikra kwa changudoa.

That's your problem. ... sorry I don't have a clue to solve them.

Kasie.
 
  • Thanks
Reactions: irk
kuna watu wana hela za mchezo jamani?
ivi mtu hakujui humjui imetokea bahati mbaya kuonana tu kwa siku moja.
na gari anakupa kama zawadi we mdada una bahati isiyo ya kawaida kama ni kweli?
na hali hi ya utawala wa kibabe kumbe bado kuna wenye jeuri ya pesa.

Muah!!!!! BAK

That's all I have for today 😉🙂🙂🙂

Kasie.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huwa unapenda zaidi kupita bara bara zipi mkuu nije nijaribu bahati yangu nikugonge kidogo ili nikupatie zawadi?

These things are not planned man, they happen.... They just happen..... actually I gat no clue.

Kasie.
 
These things are not planned man, they happen.... They just happen..... actually I gat no clue.

Kasie.
Kuna aina ya kesi ambazo ni so amazing kiasi kwamba hata mtoa hukumu anatamani angekuwa yeye ndo victim...especially ku collude na mwanamke decent!
 
Kuna aina ya kesi ambazo ni so amazing kiasi kwamba hata mtoa hukumu anatamani angekuwa yeye ndo victim...especially ku collude na mwanamke decent!

Hahahahahahahaaaa

Amazing........

Hahahahahahahahahahahahahahahahaaa

Are you a lawyer or a judge...?
 
Happy birthday Madame!
Na hongera kurudishiwa gari mpya, kweli ulipata imani juu ya huyo mtu, bila shaka alikuwa handsome hahahaha natania tu
 
Happy birthday Madame!
Na hongera kurudishiwa gari mpya, kweli ulipata imani juu ya huyo mtu, bila shaka alikuwa handsome hahahaha natania tu

Thank you for the birthday wishes. Yeah he was and he is super handsome man.... 40+ yrs.... Note that life starts at 40.......

It's amazing..... so amazing and sweet.
 
Yani story zingine bana... haya mnunulie na mama sukari sio ujisisteduishe humu na story za kupata replies nyingi tu.
 
Back
Top Bottom