Baada ya kazi...... burudiko

Baada ya kazi...... burudiko

Nilimkaribisha chakula cha jioni ambacho nilikiandaa mie mwenyewe, kinywaji alitumia Martins na baada ya chakula tuliongea saana hadi saa 5 usiku kisha akarudi kwake. Ile gari ya zamani aliyinigonga nayo fundi wake alikuja kuichukua.

Kumbe mliongea zaidi na akala vya mwili na mvua!
Hapo sawa
 
385443_142786282493904_913524820_n.jpg

utakuwa kanigambiree

ilaaaa

IMG-20150622-WA0009.jpg
 
Attachments

  • 385443_142786282493904_913524820_n.jpg
    385443_142786282493904_913524820_n.jpg
    16.8 KB · Views: 31
Hey hey heey. .....

First of all today is my birthday, Happy birthday dear mimi.... Happy Birthday Kasie. ....

Wiki iliyopita nilikuwa Dar sasa kwenye mishe mishe zangu bana za hapa na pale kama ujuavyo pilikapilika za jiji la Dar, foleni bumper to bumper. Baada ya kupita mataa ya Morocco magari yakawa yanaenda speed kidogo na pale kwenye ofisi za halotel ndo likatokea range rover likawa linaingia barabarani kwa speed bila kuangalia.......... alinigonga mbaaaaa upande wa abiria gari imeumia mbaya thank God mie sikuumia. Tulisimama wote nikashuka kwenye gari na dereva wa ile range nae akashuka. Ni mkaka tuu aged about 40+ years.
Gari yake pia imeumia ila si sana alikuwa na ngao. Kabla traffic hajaja akaniambia dada nina safari leo natakiwa niwahi airport hapa nilipo nina driving licence yangu naomba nikuachie nikirudi nikutengenezee gari yako naomba uniamini ntakulipa najua makosa ni yangu.

Nikachukua ile driving licence yake nikawa naitizama sijamjibu chochote, nikaitia kwenye kipochi changu kidogo. Nikamwambia si rahisi kukuamini ila naomba nipige picha gari yako na plate number incase ukiniruka walau nna gari ya kuanza nayo (ushahidi) kama nayo ni ya kuiba basi ntajua hukohuko mbele kwa mbele. Wakati napiga picha ile gari niliacha kipochi kwenye gari. Kisha nikamwambia sawa wakati narudi kwenye gari nikasema kwa nini nikae na leseni ya mtu kama ni tapeli hata leseni anaweza iacha ila kama ni mkweli atanitafuta. Nikarudi kumpa leseni yake kisha nikamwambia ukirudi safari unitafute utengeneze hii gari sitaigusa ukitokome abasi Mungu atanilipia.

Nikamrudishia leseni yake nikasepa nae akasepa alikuwa anaelekea mjini. Kilichotokea sasa............

Leo mchana napigiwa simu na yule mkaka akajitambulisha kisha akaniambia naomba uje maeneo yaleyale tulipopata ajali nataka tuyamalize. Nilipofika ofisi za halotel nikampigia simu maana wakati huu nilikuwa na namba aliyonipigia. Akaniambia vuka barabara maeneo yale kuna yard ya magari nikafika akaniambia samahani kwa usumbufu niliokusababishia siku ile ya ajali. Kwanza akanipa leseni yangu nikashangaa kaipataje akaniambia ile siku wakati unanirudishia leseni yangu ulitoa yako (Kasie ) badala ya yangu( yule mkaka ). Hivyo nimekufahamu wewe ni Kasinde na nikajua leo ni Birthday yako.... refer kwenye leseni wanaweka tarehe mwezi na mwaka wa kuzaliwa. Daah akaniambia nilifikiria kuwa uliniamini ile siku na nilijisikia vibaya kukuharibia siku, tena ukaniruhusu niwahi safari yangu airport ambapo nilikuwa kuna deal naifukuzia na hiyo deal imenilipa barabara.

Namnukuu " kwa moyo mkunjufu Kasinde nimekununulia gari mpya hapa showroom same same kama ile ya kwangu tena hii ni new model yake...... kwasababu alikuwa na leseni yangu alishaifanyia usajili na akapata tin number yangu TRA kwa ku-search kwa jina langu. Na hii gari nimeona nikupe leo nikijua ni siku yako ya kuzaliwa. Happy Birthday Kasinde". Mwisho wa kunukuu.

Nikamwambia sasa ile gari uliyonigonga iko nyumbani sijaifanya chochote. Akasema waweza fanya chochote nayo, nikamwambia naomba dakika 10. Nikasogea pembeni nikampigia simu lawyer wangu nikamwelezea habari yote. Akasema chukua gari ila ile mbovu mwambie aichukue, na yeye ndo ajue aifanyie nini hivyo mtakuwa mmebadilishana. Hapo hakutakuwa na mbaya.

Baada ya kuhakikisha kuwa hakuna ubaya kutoka kwa mwanasheria nikamwambia ok thanks for the birthday gift in terms of repay the accident damage. Kisha nikamwambia ile gari ya zamani uliyonigonga nayo naomba nikukabidhi wewe ndo ujue cha kufanya nayo.

Akasema poa nikamwambia twende home ukaichukue akasema hapo yeye ana gari yake hawezi iacha hivo akampigia fundi wake aje aifate gari kwangu. Nikamkaribisha kwangu kwa chakula cha jioni akasema nashukuru ntakuja.

Hapa nnapoandika fundi alikuja chukua ile gari iliyogongwa nami nilirudi nyumbani na gari mupya new model kwa ile ya kwanza. Nikaingia jikoni mtoto wa kike nikaanza kukorofisha mapishi. Tukala tukaongea meengi na sasa ameshaondoka kurudi kwake (Deo.... his name is Deo).

Ndo hivo besdei imeisha salama. Pole kwa kusoma maelezo marefu, ndivyo nilivyo siwezi kuweka muhtahasari.

Thanks you for the gift Deo.🙂

Kasie's Luck.
Huyo jamaa asipokugegeda narudi kijijini machame.
 
Usirudi bana baki hapa hapa bongo sasa hivi kuna baridi balaa hata AC siwashi na najifunika gubigubi na banketi. Ukirudi kwenu basi sichezi tena na wewe na napingua urafiki na wewe...............

Jamaa is handsome man..... nilikuwa nyoro nyoro baada ya kumuona..... lips zake sasa ndo hapo penye jiugonjwa langu heheheee.

Into be no longer my friend.😛😛

Ever Smiling Kasie.
 
Kasinde we we weeee... Mimi pia nafanana na huyo jamaa ukiniona unaweza kusema ni pacha! ni pm
 
Dah! Hii issue imewahi kumtokea hata Emeka Okechuku wa Nollywood una bahati sana
 
Kasinde we we weeee... Mimi pia nafanana na huyo jamaa ukiniona unaweza kusema ni pacha! ni pm

Hhahahahahaa oooh kumbe mmefanana hivyoo mmmhhh

Itabidi uje SA kunitembelea ili nihakikishe kama kweli mmefanana au lah. Maana jamaa yeye keshaniambia atakuja SA kunitembelea.

Ni-pm namba yako kesho nina safari ya huko hadi jmosi.
 
Hey hey heey. .....

First of all today is my birthday, Happy birthday dear mimi.... Happy Birthday Kasie. ....

Wiki iliyopita nilikuwa Dar sasa kwenye mishe mishe zangu bana za hapa na pale kama ujuavyo pilikapilika za jiji la Dar, foleni bumper to bumper. Baada ya kupita mataa ya Morocco magari yakawa yanaenda speed kidogo na pale kwenye ofisi za halotel ndo likatokea range rover likawa linaingia barabarani kwa speed bila kuangalia.......... alinigonga mbaaaaa upande wa abiria gari imeumia mbaya thank God mie sikuumia. Tulisimama wote nikashuka kwenye gari na dereva wa ile range nae akashuka. Ni mkaka tuu aged about 40+ years.
Gari yake pia imeumia ila si sana alikuwa na ngao. Kabla traffic hajaja akaniambia dada nina safari leo natakiwa niwahi airport hapa nilipo nina driving licence yangu naomba nikuachie nikirudi nikutengenezee gari yako naomba uniamini ntakulipa najua makosa ni yangu.

Nikachukua ile driving licence yake nikawa naitizama sijamjibu chochote, nikaitia kwenye kipochi changu kidogo. Nikamwambia si rahisi kukuamini ila naomba nipige picha gari yako na plate number incase ukiniruka walau nna gari ya kuanza nayo (ushahidi) kama nayo ni ya kuiba basi ntajua hukohuko mbele kwa mbele. Wakati napiga picha ile gari niliacha kipochi kwenye gari. Kisha nikamwambia sawa wakati narudi kwenye gari nikasema kwa nini nikae na leseni ya mtu kama ni tapeli hata leseni anaweza iacha ila kama ni mkweli atanitafuta. Nikarudi kumpa leseni yake kisha nikamwambia ukirudi safari unitafute utengeneze hii gari sitaigusa ukitokome abasi Mungu atanilipia.

Nikamrudishia leseni yake nikasepa nae akasepa alikuwa anaelekea mjini. Kilichotokea sasa............

Leo mchana napigiwa simu na yule mkaka akajitambulisha kisha akaniambia naomba uje maeneo yaleyale tulipopata ajali nataka tuyamalize. Nilipofika ofisi za halotel nikampigia simu maana wakati huu nilikuwa na namba aliyonipigia. Akaniambia vuka barabara maeneo yale kuna yard ya magari nikafika akaniambia samahani kwa usumbufu niliokusababishia siku ile ya ajali. Kwanza akanipa leseni yangu nikashangaa kaipataje akaniambia ile siku wakati unanirudishia leseni yangu ulitoa yako (Kasie ) badala ya yangu( yule mkaka ). Hivyo nimekufahamu wewe ni Kasinde na nikajua leo ni Birthday yako.... refer kwenye leseni wanaweka tarehe mwezi na mwaka wa kuzaliwa. Daah akaniambia nilifikiria kuwa uliniamini ile siku na nilijisikia vibaya kukuharibia siku, tena ukaniruhusu niwahi safari yangu airport ambapo nilikuwa kuna deal naifukuzia na hiyo deal imenilipa barabara.

Namnukuu " kwa moyo mkunjufu Kasinde nimekununulia gari mpya hapa showroom same same kama ile ya kwangu tena hii ni new model yake...... kwasababu alikuwa na leseni yangu alishaifanyia usajili na akapata tin number yangu TRA kwa ku-search kwa jina langu. Na hii gari nimeona nikupe leo nikijua ni siku yako ya kuzaliwa. Happy Birthday Kasinde". Mwisho wa kunukuu.

Nikamwambia sasa ile gari uliyonigonga iko nyumbani sijaifanya chochote. Akasema waweza fanya chochote nayo, nikamwambia naomba dakika 10. Nikasogea pembeni nikampigia simu lawyer wangu nikamwelezea habari yote. Akasema chukua gari ila ile mbovu mwambie aichukue, na yeye ndo ajue aifanyie nini hivyo mtakuwa mmebadilishana. Hapo hakutakuwa na mbaya.

Baada ya kuhakikisha kuwa hakuna ubaya kutoka kwa mwanasheria nikamwambia ok thanks for the birthday gift in terms of repay the accident damage. Kisha nikamwambia ile gari ya zamani uliyonigonga nayo naomba nikukabidhi wewe ndo ujue cha kufanya nayo.

Akasema poa nikamwambia twende home ukaichukue akasema hapo yeye ana gari yake hawezi iacha hivo akampigia fundi wake aje aifate gari kwangu. Nikamkaribisha kwangu kwa chakula cha jioni akasema nashukuru ntakuja.

Hapa nnapoandika fundi alikuja chukua ile gari iliyogongwa nami nilirudi nyumbani na gari mupya new model kwa ile ya kwanza. Nikaingia jikoni mtoto wa kike nikaanza kukorofisha mapishi. Tukala tukaongea meengi na sasa ameshaondoka kurudi kwake (Deo.... his name is Deo).

Ndo hivo besdei imeisha salama. Pole kwa kusoma maelezo marefu, ndivyo nilivyo siwezi kuweka muhtahasari.

Thanks you for the gift Deo.🙂

Kasie's Luck.
Kassie, kumbe ajali yenyewe ndo hii?
Huzuni…Familia ya Hoyce yanusa kifo ajalini
 
Back
Top Bottom