Yani story zingine bana... haya mnunulie na mama sukari sio ujisisteduishe humu na story za kupata replies nyingi tu.
Naona wknd unabando la chuo binti unaenjoy... haya nakuongezea replies basi.Life is not equal to everyone boy, what's necessary to you its unnecessary to the other.
If sugar is one of the necessity of your mom then don't conclude that my mom needs are same as yours.
Gat that boy.... next time usidandie treni kwa mbele utagongwa halafu kesi ni yako na utatakiwa kulilipa treni japo utaumia wewe.
Kasie.
Life is not equal to everyone boy, what's necessary to you its unnecessary to the other.
If sugar is one of the necessity of your mom then don't conclude that my mom needs are same as yours.
Gat that boy.... next time usidandie treni kwa mbele utagongwa halafu kesi ni yako na utatakiwa kulilipa treni japo utaumia wewe.
Kasie.
Hivi usingekuwa Na k ungepewa hiyo zawadi? Subutu zaidi ungelala segerea kwa kugonga gari ya kibopa. Kuna jamaa WA BOT yalimkuta (aligongwa lakini akageuziwa Kibao kwa vile hakutaka kutoa chochote tena Na Bajaj ya kibopa). Shukuru mungu umezaliwa Na k hizo ndizo carrot za k ingawa stick zake mp Na KuzaaFaida ya kuzaliwa na moyo wa upokeaji....
Kasie.
Kwanza hongera kwa kuzaliwa, nitakuletea kichupa cha kunyonyea.First of all today is my birthday, Happy birthday dear mimi.... Happy Birthday Kasie. ....
Umesema Wiki iliyopita ulikuwa Dar, hii inamaanisha wewe siyo mwenyeji wa Dar lakini mpaka unaleta huu uzi bado huko dar kwa nini umetumia haya maneno? "nilikuwa Dar"Wiki iliyopita nilikuwa Dar sasa kwenye mishe mishe zangu bana za hapa na pale kama ujuavyo pilikapilika za jiji la Dar, foleni bumper to bumper.
Kumbe bado huko Dar?Leo mchana napigiwa simu na yule mkaka akajitambulisha kisha akaniambia naomba uje maeneo yaleyale tulipopata ajali nataka tuyamalize.
Hii inaonyesha kuwa wewe siyo mfuatiliaji mzuri wa vitu vyako, inakuwaje usigundue kuwa huna leseni yako.Kwanza akanipa leseni yangu nikashangaa kaipataje akaniambia ile siku wakati unanirudishia leseni yangu ulitoa yako (Kasie ) badala ya yangu( yule mkaka ). Hivyo nimekufahamu wewe ni Kasinde na nikajua leo ni Birthday yako.... refer kwenye leseni wanaweka tarehe mwezi na mwaka wa kuzaliwa.
Hapa kuna kitu kingine muhimu hukukiandika lakini sisi wa 40+ tunajua.Tukala tukaongea meengi na sasa ameshaondoka kurudi kwake (Deo.... his name is Deo).
Kwa hiyo kwa kifupi ni kwamba papuchi haikusalimika lazima tu iligegedwaHahahahahaa Galadudu bana acha kunichekesha loh.... wakubwa hawaonji wanapakua na kula haswaa. .. tena kwa mkono sio kwa uma na kisu wala kijiko.
Wakubwa hawalambi wanamung'unya kufyonza utamu wote......
Wakubwa hawang'ati wanatafuna na kumeza. ....
Matukio yote hayo hayafanyiki siku moja tuu au wiki moja........
Wee mkubwa mwenzangu bana nielewe looh au unataka watoto nao waelewe mambo ya wakubwa? Hehehe
Are you feeling jealous for Deo..... what a ride. ....
I surely enjoyed the ride... It was fantastic!!
Thanks for birthday wishes. My regards to Silas.
Kasie.
Ha ah ha ha daaah mkuu mfuatiliaji mbaya..Kumbe maeneo yale panauzwa gari mpya!!,ok
Hivi usingekuwa Na k ungepewa hiyo zawadi? Subutu zaidi ungelala segerea kwa kugonga gari ya kibopa. Kuna jamaa WA BOT yalimkuta (aligongwa lakini akageuziwa Kibao kwa vile hakutaka kutoa chochote tena Na Bajaj ya kibopa). Shukuru mungu umezaliwa Na k hizo ndizo carrot za k ingawa stick zake mp Na Kuzaa
mhmhmhmmhmhmh huyo deo asije akawa mnigeria au mkongo wa wolper
shogaaa matapeli mjini wengi
Haya ni manyoya, kishaliwa mda mrefuMuulize Adam na Eva apple lilibaki salama?
Kasie.
HAPPY BIRTHDAY KASINDE...
kan't wait siku nikugonge na ka vitz kangu!!!!