Mbona mengine yaliyotokea baada ya chakula haujatuambia
Nipe namba yake Huyo jamaa namtafta sana ni Jambazi sugu..
Hukumpa Papuchi!!!!
Kasie mamy hao watu wako unaokutanaga nao wamezaliwa Tz kweli?? Nina wasiwasi na DNA zao wallahi
Hiyo nayo ni changamoto ingineHahahahahaaaa I wonder hata kama mie ni mtanzania..... maana na hivi ajira yangu siku hizi ni ya kusafiri safari nchi mbali mbali yaani TZ nakuja nikiwa off na likizo. Sijui DNA yangu itasomaje. ... na hivi nilizaliwa wa kike pekeyangu. ... mmmhhhh
Mhhhjj, Script nzur sana ungetuwekea kabisa na Picha uliyopiga RANGE ROVER.
Mfanyakazi kulipata ilikuwa ngumu kwa mkoa huo nyakati hizo.Poleee wakati ukuta, mfanyakazi na uhuru hayakuwa na burudiko hilo?