Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
- Thread starter
- #41
Mfanyakazi kulipata ilikuwa ngumu kwa mkoa huo nyakati hizo.
pia tuliburudika na.....
kalamu kutoka london
Watu na matukio
Mashairi na
Chakubanga
Hahahahhaaa kweli wewe wa kitambo looh.... katuni ya chakubanga umenikumbusha mbaliiii ilikuwa lazima niisome.
