DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,291
- 29,485
SawaSisi wakoasoaji ndio wajibu wetu kuwaonyesha kuwa wao sio malaika. Maana tukikaa kimya watadhani wao ni malaika na kujifanyia watakavyo.
SawaSisi wakoasoaji ndio wajibu wetu kuwaonyesha kuwa wao sio malaika. Maana tukikaa kimya watadhani wao ni malaika na kujifanyia watakavyo.
Unaongea nankuandika vitu vingi emotionally but nonsensical.Kubali tu kuwa utaalamu wa kutosha TCRA hawana,Wenye uwezo wa kufunga lain kwa ufasaha zaidi ni wenye mitandao husika na si TCRA .Tunahitaji kuongeza utaalamu katika mambo haya na sio hapa tulipo,hapa bado
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongea nankuandika vitu vingi emotionally but nonsensical.Kubali tu kuwa utaalamu wa kutosha TCRA hawana,Wenye uwezo wa kufunga lain kwa ufasaha zaidi ni wenye mitandao husika na si TCRA .Tunahitaji kuongeza utaalamu katika mambo haya na sio hapa tulipo,hapa bado
Sent using Jamii Forums mobile app
Shangaa na wewe, watu wa namna hii ndio wametufikisha hapa leo hii, ni kama vile ukiwekewa kundi la sisimizi katika mkono wako kisha mmoja akakung'ata unaondoa wote!sasa na wewe kwanini hujanda kusajili?
Kwani ukisajili upya unapungukiwa nini mkuu? 😳Bora umeona, ni matapeli tu. Mimi nina line tatu na zote ziko hewani. Hakuna mtu yoyote atanitishia. Nilishasajili huko nyuma, sio lazima nisajili kwa namba ya NIDA fullstop.
Yaani wewe ni popoma. Kaa tu kimya badala ya kubishana na mtu anaeweka logic. What's your logic. Unajua mkongo wa taifa unafanyeje kazi? Unajua nani anaeudhibiti huo mkongo centrally?. Yaani kuna watu mnajifanya mnajuua kumbe mnaanika ujinga mlionao!
Sent using Jamii Forums mobile app
Badilisha imeiMkuu kuhusu simu zilizofungiwa usibishe nilikuwa na simu 2 moja ilifungiwa haikusoma line ikawa kopo tu! Subiri na hapa ushuhudie lzm yatakuja tu
Waliofunga ni hao service provider, na watafunga siku moja au mbili, baada ya hapo watu watadunda kama kawaida. Tatizo liko NIDA, wasisumbue watu wakati mamlaka husika haina ufanisi.
Tena nilikuwa nashangaa watu wanatetemeka, uwezo huo TCRA hawana. Kama wangekuwa na huo uwezo mbona wangeweza kuchukua fingerprint zilizoko kwenye driving license na vitambulisho vya kura. Hata hayo matokeo ya kura huwa wanatangaza yasiyo halisia na wala sio kuwa wanautaalamu wowote wa kucheza na mfumo.
Hiyo nguvu ya TCRA mbona wameshindwa kizima Jamii forumMkuu uku watu wanatafuta namna ya kufarijiana,laiti wangejua nguvu ya TCRA wangefanya juu chini wasajili tu, watu wengi huku ni basi tu hata hamna mwelekeo wa kuwapa elimu unakosa!
Nape alienda ikulu akipiga magoti alafu unakutana na mtu anaongea upuuzi kama ule, yaani kuna watu bana
Chonde chonde na kauli zako aisee unaongea usichokijua! Better be quite and learn things, ulishawahi kuskia serikali za nchi flan wamefunga internet ya nchi nzima unadhan nan ndo hua wanafunga hio internet?
Na je unajua serikali ndo anaesmamia mkongo mzima taifa lote, yaaani wanaweza wakanuna tu na mitandao yote isifanye kazi, punguza ushabiki aisee
Yawezekana wametumia ubindam kuextend mda zaidi lakini kila kinachopita kwenye mawimbi kiko under there control
Mda mwingine mnafanya nchi tunaonekana wananchi wetu hakua kitu kabisa kichwan kwa mada kama izi, ebu get some education kwanza unatia Ainu
Izo data za fingerprints anapewa yoyote anaezitaka, meaning kwamba hata mm leo nkizitaka napewa as long umekuja kuweka kidole sehem taarifa zako znahitajika na nmekamilisha vibali vyote kwa NIDA
Walisili miaka ya nyuma kwa vitambulisho vya taifa lakini kulikua hamna kuweka alama za vidole....nirahisi tu kuwajua
Sent using Jamii Forums mobile app